Enzi hizo...

Enzi hizo...

Naanza:
Enzi hizo mzazi akitaka kukuadhibu kwanza anakuagiza mwenyewe ukalete fimbo, sasa kalete fimbo ya kizembe uone. Fimbo pendwa ilikua mpera....Hebu tukumbishie na wewe enzi hizo [emoji2][emoji2][emoji2]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wengine Tulikuwa hatuambiwi hivyo.. Bse ukinambia hivyo sirudii nahamia kwa shangazi,Bibi mkubwa Kijiji Cha tatu huku nakaa wiki nasema bibi/baba au mama ataniua ... Siku ya kurudishwa narudishwa kishujaaa...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ulitaka unichape nimefanya kosa yapasa uvizie au unidanganye..
Like hey embu ingia ndani angalia hayo maziwa Kama yameshaganda uje nayo na kibiriti Tuwashe Moto ..Nkupikie ugali...
(Ugali maziwa dah ...ulinifanya niwe zuzu ..nkifanya kosa nakamatika kiulaini Sana)
Ila siku moja nilipigwa ..mnoo ...nilimchungulia mwalimu mkuu then nkapikiwa huo ugali aaargh Toka siku hiyo ndoa ilikufa ...maana kipigo kilikuwa heavy...
 
Team kuogelea mpo?
Team Kujipikilisha maporini pro?
Team Kombolela?
Team Wadokozi?
Team chandimu?
Team rede kina dada?
Ongezeeni ...aseh
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na ujasiri wote huo na ukorofi sijawahi ua kiumbe/mnyama ...nlikuwa najisikia hovyo mno nkiona wenzangu wanaua Vindege,njiwa..sungura..
Nikiona kiumbe anavyochinjwa sili...

Mimi nilikuwa bingwa najua parachichi lipi zuri lipi baya..lipo kwa kina Nani mtaa wa ngapi...
Ndizi mbivu Kwa kina Fulani wanavundika wapi ... πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tulikuwa tuna ligi ya kuokota maparachichi alfajiri ..saa kumi na moja au saa kumi ..Ni kuzurura mitaani chini ya miti ..... Teh teh teh ...na zile tochi za bati zenye Bulb moja kuubwa hv ..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna mengine nkiweka hapa watu wataunga Dots ....
Kugusia nlikuwa na kichwa imekomaa Kama Nazi.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aisee we kiboko
 
Enzi hizo nilikuwa nakaba watoto wenzangu nanyang'anya shilingi 10 zao na shilingi ishirini zilinikoma..[emoji1787][emoji1787]
Mixer kumwaga kojo linalojua kutafuta njia kufikia godoro hata Kama umewekewa chakachaka la plastic sikuishia hapo Kuna kitoto Cha kike asubuhi tu nipo kwao nacheza nako baba na mama baada ya hapo tunaingia kwenye mauwa! Hivi fatu uliendaga wapi..[emoji12]

Nilishawahi chezea kichapo nikajifanya nimezimia! Ilitua fimbo moja tu nikaammka kwa spidi utafikiri mzimu uliopotea maelekezo..[emoji1787]
Ahsante kwa juisi kola ulinifanya nikawa najikojolea mkojo unaonukia hata nikichapwa nasema kweli nahaki ya kuchapwa si kwa mnuko huo..[emoji28]
Hahaham. Jusi cola juzi tu mkuu enzi hizo tulikua na super dip
 
Enzi hizo Yale magari ya mbao na matairi ya kandambili. Unatengeneza gari yako halafu unakuta Kuna jamaa mmoja maarufu mtaani kwa kutengeneza Kona, basi unaenda anakusukia Kona fresh. Wapo waliokua wataalam wa kutengeneza vipago vya manati. Halafu ukiua ndege unachkua damu unapaka kwenye kipago ili iwe inaua sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wengine Tulikuwa hatuambiwi hivyo.. Bse ukinambia hivyo sirudii nahamia kwa shangazi,Bibi mkubwa Kijiji Cha tatu huku nakaa wiki nasema bibi/baba au mama ataniua ... Siku ya kurudishwa narudishwa kishujaaa...[emoji23][emoji23][emoji23]
Ulitaka unichape nimefanya kosa yapasa uvizie au unidanganye..
Like hey embu ingia ndani angalia hayo maziwa Kama yameshaganda uje nayo na kibiriti Tuwashe Moto ..Nkupikie ugali...
(Ugali maziwa dah ...ulinifanya niwe zuzu ..nkifanya kosa nakamatika kiulaini Sana)
Ila siku moja nilipigwa ..mnoo ...nilimchungulia mwalimu mkuu then nkapikiwa huo ugali aaargh Toka siku hiyo ndoa ilikufa ...maana kipigo kilikuwa heavy...
Hahahah, ilikuaje ukamchungulia mkuu?
 
Wewe ya kitambo hii hizo dip mnajua nyie
Jusi cola naikumbuka mkuu ikiwa kwenye kipakti kama cheusi hivi. Uliza legends enzi za Super dip, soda Aina ya Fahari. Pipi cola za kitambo, toffie za zamani. Na zile pipi pundamilia. Naongelea 1995-1997 era
 
Enzi hizo Yale magari ya mbao na matairi ya kandambili. Unatengeneza gari yako halafu unakuta Kuna jamaa mmoja maarufu mtaani kwa kutengeneza Kona, basi unaenda anakusukia Kona fresh. Wapo waliokua wataalam wa kutengeneza vipago vya manati. Halafu ukiua ndege unachkua damu unapaka kwenye kipago ili iwe inaua sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtaalamu wa kuyaiba magari yenu nipo hapa ...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sijawahi tengeneza gari ...
Kilikuwa pia kuna wataalamu wa Kuchonga pia /ndera...
Dah una kumbukumbu nzuri bro..
 
Hahhahahah nimecheka sana
Enzi hzo unatumwa dukan ukanunue sukari robo,kiberiti kimoja na mafuta taa nusu Lita na peremende za mia

Unaiba mfuniko wa ndoo unaendesha kama tairi huku unaelekea dukan ukiimba,

Sukari robo...kiberiti kimoja...mafuta taa nusu lita..peremende za Mia*3

Sukari nusu Lita..mafuta taa robo...kiberiti kimoja...

baada ya kufika dukan: Kiberiti nusu lita...mafuta robo...sukari ya mia...peremende robo
 
Nilikuwa snitch balaa unitume nkuitie dada yangu ...teh teh unanipa hela sh kumi ama sh ishirini...
Nakuitia Bibi yangu au baba mkubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuangalia TV kwa jirani au mtaa wa kumi na nane ...Au Kijiji jirani..
Ili kutizama lazima Tuwe tumeoga...na tukifika hamna kukalia makochi wote chini..
Siku nyingine Mnaambiwa mchote maji kwanza Muwajazie wenye TV madramu/mapipa....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kazi ilifanyika Kama mchwaaa..
Sekunde Tayari ..
Kaka umenikumbusha mbali auntie alikua anafungia deki pamoja na mikanda chumbani mpka kazi ifanyike aisee haoo watu watajituma fasta fasta.
 
Back
Top Bottom