Enzi ninajiunga na JF

Mtu akinimention siwezi kuona Kama natumia app, ni mpaka nitumie browser.

Cc: Maxence Melo
Hili nafikiri lilishawashinda maana ni tatizo la nuda mrefu sana. Hata hivyo hii app ya sasa hivi naona ndio ya hovyo zaidi.
 
Acha kabisa!
Ilikuwa nzuri mnooo!
Halafu ni kama ilikuwa haihitaji mkutane ili mclick!
Tulikuwaga na mutual understanding ya kibaaaaaaabe kabisa!
Miss them old good days!
KATIKA WATU NAWATAFUTA NI Kongosho , Connie please!
please yani! yu just vanished in a then air!
Miss you girl!
 
Shyland yuko wapi?
 
Huyo aliyekuja kumuoa Kongosho nadhani akamfungia mazima. Kakata internet kama Congo ma zimbabwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…