Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
๐คฃ๐๐๐๐๐Na wenyewe si walituchamba na manyonyo yetu kama matikiti ya Moro hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐คฃ๐๐๐๐๐Na wenyewe si walituchamba na manyonyo yetu kama matikiti ya Moro hahaha
Siku nyingi sijapata uzi wa kunichanganya, uwe unaniita eeh! Tatizo notifications nazo zinazingua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemsahau manengelo demi Neybright Heaven Sent
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahaha hakunaga mwanaume mbaya bana wote ma handsome kinoma nomaWao wenyewe wanajikutaga mahandsome
Hata mimi?[emoji58]Yaani acha tu, ni changamoto.
Kuna yule alisema alikutana na mdada wa jf ana matiti kama matikiti ya morogoro. Haki mbinguni watapasikia tu wanaume wa humu.
Hapana mpenzi, kasoro wewe tu!!!
Notifications ni tatizo kwakweli.Siku nyingi sijapata uzi wa kunichanganya, uwe unaniita eeh! Tatizo notifications nazo zinazingua
Mtu akinimention siwezi kuona Kama natumia app, ni mpaka nitumie browser.Notifications ni tatizo kwakweli.
Hili nafikiri lilishawashinda maana ni tatizo la nuda mrefu sana. Hata hivyo hii app ya sasa hivi naona ndio ya hovyo zaidi.
Acha kabisa!Enzi najiunga mimi JF bana....ilikuwa motoo. Kwa kuanzia kulikuwa hakuna simu janja wala wozap.
Nani anakumbuka mambo ya yahoo messenger na MSN messenger?
Acheni bana. PM zilikuwa PM kweli. Afu watu walikuwa na vifua.
#Mudamchachemambonimengi#
Cc Asprin snowhite gfsonwin mwallu Bigirita GY Washawasha Passion Lady sweet lady Arushaone Filipo Mzee wa Rula @blaki woman na wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Shyland yuko wapi?Acha kabisa!
Ilikuwa nzuri mnooo!
Halafu ni kama ilikuwa haihitaji mkutane ili mclick!
Tulikuwaga na mutual understanding ya kibaaaaaaabe kabisa!
Miss them old good days!
KATIKA WATU NAWATAFUTA NI Kongosho , Connie please!
please yani! yu just vanished in a then air!
Miss you girl!
Huyo aliyekuja kumuoa Kongosho nadhani akamfungia mazima. Kakata internet kama Congo ma zimbabweAcha kabisa!
Ilikuwa nzuri mnooo!
Halafu ni kama ilikuwa haihitaji mkutane ili mclick!
Tulikuwaga na mutual understanding ya kibaaaaaaabe kabisa!
Miss them old good days!
KATIKA WATU NAWATAFUTA NI Kongosho , Connie please!
please yani! yu just vanished in a then air!
Miss you girl!
Af mshenzi yule yani akapotea tu, psyuuuuuuuu!Huyo aliyekuja kumuoa Kongosho nadhani akamfungia mazima. Kakata internet kama Congo ma zimbabwe
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemsahau manengelo demi Neybright Heaven Sent
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hapana, mimi ni mpole sana.hahahhaa ww mtoto mkorofiiii[emoji16][emoji16][emoji16]...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wa vingozi eeenh ukimpata auntie unipasie
Aibu nimeona mm [emoji85][emoji85][emoji85] kwani insta babe unacho samahani lakini buana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] insta babe mimi walikichukuaga bhanaAibu nimeona mm [emoji85][emoji85][emoji85] kwani insta babe unacho samahani lakini buana