Wakikujib nitagMnatafuta kingozi cha kulalia ama?
Dah kweli aisee kwema lakin Shem wanguOooh!! Taratibu na jina litabadilika. Ubanane hivyo hivyo shem ili pesa zipatikane.
Ni kweli kabisa nyie mahandsome bwana
Kwema kabisa.
Hahaha hahahaYaani ukiwakuta mahali Shunie Sakayo espy wakakutana uzi unaenda speed ya jet yaani wanavamia kama viwavi jeshi. Hapo hajaja wa kuitwa Raynavero [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
London babyHao watu ukitoa Uzi alafu wakauvamia ni dakika mbili tu ushafikisha coment 300 ni watu poa sana lakini Mimi nawakubali sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeyakuta kwa nini yakuteseeKuna watu wanachukia balaa, ni vile hawana jinsi wangetupiga ban.
Duuuh ulitongozwa na mdada, kwa nini hukumuoa yeye?Niwe mkweli.. Mie nilivyokuwa single nilibahatika kutongozwa na mdada fulani hivi alikuwa machachari humu miaka ya 2015-2017..
Kukutana nae kisu kisu.. White Masai..
Nilivyopata mke nikampa simu akablock vimada wote!
Hahaha hahaha
Nisaidie kujua wanachohitaji.Wakikujib nitag
Mungu hakunipangia awe yeye.. Ila alikuwa mstaarabu sana, sana..
Na kwako pia sasa nimeongeza miaka kazaaKwema kabisa.
Heri ya mwaka mpya.
Mm huyo mkuu uje kunianzishia thread mm nipambane na hali yangu
Hata siwaelewi superstar... Naona kingozi tuuNisaidie kujua wanachohitaji.
Poa kabisaaa shemelaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umeyakuta kwa nini yakutesee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata siwaelewi superstar... Naona kingozi tuu
Acha unafiki uende mbinguni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maisha ndio haya sasa na jf ndio hii sasa