Enzi ninajiunga na JF

Enzi ninajiunga na JF

Niwe mkweli.. Mie nilivyokuwa single nilibahatika kutongozwa na mdada fulani hivi alikuwa machachari humu miaka ya 2015-2017..

Kukutana nae kisu kisu.. White Masai..

Nilivyopata mke nikampa simu akablock vimada wote!
 
Back
Top Bottom