Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtu anakusema vibaya kama tumejiumba wenyewe jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani acha tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtu anakusema vibaya kama tumejiumba wenyewe jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani acha tu.
Sasa wewe mmasai obvious hauwezi kuwa hb, sasa tukusemee nini jamani[emoji85][emoji85][emoji85]Ila msivutie uzi kwenu tu muonekane nyie ndiyo mnasemwa kwa sura...mshatusema saana humu.
Kuna mdada alisema amekutana na mwanaume wa JF anauso mpana kama screen...pua nayo haitoshi kwenye camera. Hahahah
Alafu yeye alivyo sasa, unabaki tu kusema Mungu ni mkubwa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtu anakusema vibaya kama tumejiumba wenyewe jamani
Mniambie basi jamani dadangu
Unamkumbuka mama mkubwa?Sasa wewe mmasai obvious hauwezi kuwa hb, sasa tukusemee nini jamani[emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
@heaven sent njoo mama nimekumiss.Kuna mdada alisema amekutana na mwanaume wa JF anauso mpana kama screen...pua nayo haitoshi kwenye camera. Hahahah
Mie wananiitaga sura ya babaUpo? Wewe ulishaitwa nini?
Amekutana nae laivu [emoji3][emoji3][emoji3]Kuna mdada alisema amekutana na mwanaume wa JF anauso mpana kama screen...pua nayo haitoshi kwenye camera. Hahahah
Daaah...ila JF imeishiwa vituko aseeh.@heaven sent njoo mama nimekumiss.
Baba yako atakuwa HB lazima.Mie wananiitaga sura ya baba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walijaribu kupiga picha pua ikakataa.
Unabaki kumwambia Mungu asante Baba kwa kunikutanisha na huyu kiumbe tuAlafu yeye alivyo sasa, unabaki tu kusema Mungu ni mkubwa.
Sitaki
Bahati mbaya kila ninaye mtongoza humu ananikataa...sijui sipo romantic unaona hapo Sky Eclat alidata kwa uromantic wa jamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi jina unamkumbuka!!! Ndio ulikuwa unasemwa wewe nini?[emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unabaki kumwambia Mungu asante Baba kwa kunikutanisha na huyu kiumbe tu
Maana tumeambiwa tushukuru kwa kila jambo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] umenifanya nisogee kwenye kioo niangalie pua yanguWalijaribu kupiga picha pua ikakataa.