Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Hahaha hahahaBaba yako atakuwa HB lazima.
Sitaki uchochezi jamanii superstar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hahahaBaba yako atakuwa HB lazima.
🤣🤣🤣🤣🤣Kuna mdada alisema amekutana na mwanaume wa JF anauso mpana kama screen...pua nayo haitoshi kwenye camera. Hahahah
Na watu wa huko kwenu kweli mnazo.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] umenifanya nisogee kwenye kioo niangalie pua yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Superstar wewe hata mwandiko tu mzuri....sura itakuaje sasa?Hahaha hahaha
Sitaki uchochezi jamanii superstar
Ndiwoooo Auntie tunashukuru tu hata kama vibaya ili tuzidi kujipatia baraka tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulishawahi wapi kuona ndoa ya mmasai na kabila lako?Haujanitongoza mimi, nisingekukataa. Nina matumizibna wamasai. Ila sio wale wa hospitali.
Wa vingozi eeenh ukimpata auntie unipasieHaujanitongoza mimi, nisingekukataa. Nina matumizi na wamasai. Ila sio wale wa hospitali.
Watutue na sura zetu za baba zetu.Ndiwoooo Auntie tunashukuru tu hata kama vibaya ili tuzidi kujipatia baraka tu
Wazuri utawajua tu...hata kusalimia hawataki.Ndiwoooo Auntie tunashukuru tu hata kama vibaya ili tuzidi kujipatia baraka tu
Hahaha hahaha
Sie wote wanilote, tusingeshindwana.Ulishawahi wapi kuona ndoa ya mmasai na kabila lako?
Ili akibadilisha mawazo asikupate.Tena na PM nimefunga kabisa
Ukimuweza Daby inatosha mimi kuniweza sio kazi rahisi etiHahaha hahaha
Wewe sikio halienei kwenye camera nitakuwezaaa
WaaachaaaSuperstar wewe hata mwandiko tu mzuri....sura itakuaje sasa?
Daaah pole sana kuna watu hatutoenda mbinguni yaaanNikianzia wapi baadaya juitwa sanamu la Michelin [emoji23]