Enzi ninajiunga na JF

Enzi ninajiunga na JF

Yaani acha tu, ni changamoto.
Kuna yule alisema alikutana na mdada wa jf ana matiti kama matikiti ya morogoro. Haki mbinguni watapasikia tu wanaume wa humu.
Kwan uongo

Mi nlkutana na mmoja mwembamba kama uti wa mgongo

"Maji ya ugali hayaonjwi , upo nyonyo [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom