Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Hapo hakuna alie bora kwasababu hao ni watu wawili tofauti kabisa...Wadau wa hiphop, Nani ni noma kati ya hivi vichwa viwili chidi au fidi enzi wapo fire.....
Bila kujali matatizo yaliyowapata yaliyowaathiri kwenye game, JE NANI NI MKALI???
hata sijui umeandika niniHapo hakuna alie bora kwasababu hao ni watu wawili tofauti kabisa...
Chid Benzi ni Rapa, wakati Fid Q amekaa kwenye Vina
Afadhali hata hauja juahata sijui umeandika nini
chidi mkali kakaWadau wa hiphop, Nani ni noma kati ya hivi vichwa viwili chidi au fidi enzi wapo fire.....
Bila kujali matatizo yaliyowapata yaliyowaathiri kwenye game, JE NANI NI MKALI???
Yap ni kweli chidbeenz anapita kwenyeckila mdundo kuna ngoma mpya ya singeli ya manifongo kashirikishwa humo ni hatari....wala hata hakuandika naskia alipiga freestyle tu.Chid upande wa flow hana mpinzani mpaka hivi sasa,alikuwa hachagui biti yoyote anafunika.
Nilimvulia kofia kwenye nyimbo ya Makamua ft Chid Benz-Tell me why ,Bado umenuna (chalanga)-Marlow ft Chid Benz akaja kumaliza Nipe raha ya dunia-Chid Benz ft Mzee Yusuph.
Akaja kwa Incredible rmx -One ft Chid,Sterio,Izzo-Mule napo kavuruga vibaya vibaya,Hawafanyi-Langa ft Chid Benz ,yoyote kwa yote hamna nyimbo ya hip hop inayo hamsha kama Dar-es-salaam Stand up mpaka leo,mwaka jana yeye ndio Man of the Match ktk show ya Fiesta.
Fid Q mzuri tu upande wa kubuni mistari,yenye maneno magumu kuyang'amua ,lkn kiflow wa kawaida.
Chid mpaka mdundiko anavuruga.