Chid upande wa flow hana mpinzani mpaka hivi sasa,alikuwa hachagui biti yoyote anafunika.
Nilimvulia kofia kwenye nyimbo ya Makamua ft Chid Benz-Tell me why ,Bado umenuna (chalanga)-Marlow ft Chid Benz akaja kumaliza Nipe raha ya dunia-Chid Benz ft Mzee Yusuph.
Akaja kwa Incredible rmx -One ft Chid,Sterio,Izzo-Mule napo kavuruga vibaya vibaya,Hawafanyi-Langa ft Chid Benz ,yoyote kwa yote hamna nyimbo ya hip hop inayo hamsha kama Dar-es-salaam Stand up mpaka leo,mwaka jana yeye ndio Man of the Match ktk show ya Fiesta.
Fid Q mzuri tu upande wa kubuni mistari,yenye maneno magumu kuyang'amua ,lkn kiflow wa kawaida.
Chid mpaka mdundiko anavuruga.