Enzi za Hayati Magufuli Leo angeondoka na Vichwa kariakaoo

His Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular.
Umenikumbusha mbali
 
Ilileta tija ipi fukuza fukuza yake? Kwasababu aliishia lufurahisha mbulula kama wewe ambae hujui chochote kuhusu kodi tatizo likabaki pale pale
Angalia hiki kitoa nyaaa wewe una Akili kweli au kwa vile unaangalia tu shimoni muda wote?.
 
Hata mgomo usingetokea angenyaka taarifa mapema akanyoa watu kwa chupa.

Hadi watu wanafikia Hatua ya kugoma maana yake
serikali ni hopeless haijali matatizo ya raia wake.

Mgomo ni uamuzi wa mwisho katika kuvumilia manyanyaso
Yule mwamba Kwanza angeenda mwenyewe angepanda ndege/gari nakwenda ongea nao. ..namaagizo yangetoka hapohapo kesho watu wangekua mzigoni
 
Watumishi wa umma Kwa sasa wamejaa viburi na dharau wanajua fika kabisa Mzee Baba hayupo na serikali ni dhaifu Bin taabani.

Enzi zile Kelele hizi zingelambisha watu mchanga Leo, ila ndo hivyo tena hii serikali yakustwa tu afu unaachwa uendelela na Ujinga ujinga
Yeye ndio alileta tusk force kariakoo za wahuni wake
 
Watumishi wa umma Kwa sasa wamejaa viburi na dharau wanajua fika kabisa Mzee Baba hayupo na serikali ni dhaifu Bin taabani.

Enzi zile Kelele hizi zingelambisha watu mchanga Leo, ila ndo hivyo tena hii serikali yakustwa tu afu unaachwa uendelela na Ujinga ujinga
Tatizo ni Mama, yeye yuko bize kula kungu tu
 
Kila zama ina mweelekeo wake sio kuwangoza watu na mkono wa chuma hlf huku unawekeza vitu visivokuwa na maana unawekaje traffic light gari inapita kila baada nusu saa
 
Hata mgomo usingetokea angenyaka taarifa mapema akanyoa watu kwa chupa.

Hadi watu wanafikia Hatua ya kugoma maana yake
serikali ni hopeless haijali matatizo ya raia wake.

Mgomo ni uamuzi wa mwisho katika kuvumilia manyanyaso
Kipindi chake ndio TRA walinyanyasa zaidi wafanyabiashara na biashara zilifungwa sana. Hata hayo mambo ya task force yalishamiri sana kipindi hicho sema watu walikuwa wanaogopa sana utawala.
 
Nakubaliana na wewe kwenye jambo moja tuuu...serikali ya sasa ni zaidi ya dhaifu, unategemea nn ikiwa rimoti iko msoga?!.
 
Watumishi wa umma Kwa sasa wamejaa viburi na dharau wanajua fika kabisa Mzee Baba hayupo na serikali ni dhaifu Bin taabani.

Enzi zile Kelele hizi zingelambisha watu mchanga Leo, ila ndo hivyo tena hii serikali yakustwa tu afu unaachwa uendelela na Ujinga ujinga
Toka nje ya box ulilojifungia. Angeondoka na vichwa ili iweje? Japo elimu yetu ni janga kubwa lakini kama umefika form 4 na una mawazo haya basi ni hasara tupu.
 
Migomo ni njia ya kufikia suluhisho la malalamiko yao. Hivyo kumsifia Magufuli kuwa angewakata vichwa na dalili ya kuonyesha kuwa utawala wake ulikuwa wa KIDIKTETA
Nyie ndiyo wale watafuna mali za umma pamoja na vyeti feki.
Mmeshazoea mbeleko na teuzi.
 
Watumishi wa umma Kwa sasa wamejaa viburi na dharau wanajua fika kabisa Mzee Baba hayupo na serikali ni dhaifu Bin taabani.

Enzi zile Kelele hizi zingelambisha watu mchanga Leo, ila ndo hivyo tena hii serikali yakustwa tu afu unaachwa uendelela na Ujinga ujinga
Eti mtupisheeee, stupid..., sasa ndio nini? Chukua action
 
Back
Top Bottom