Aliyeanzisha task force ni nani kama siyo huyo huyo?Watumishi wa umma Kwa sasa wamejaa viburi na dharau wanajua fika kabisa Mzee Baba hayupo na serikali ni dhaifu Bin taabani.
Enzi zile Kelele hizi zingelambisha watu mchanga Leo, ila ndo hivyo tena hii serikali yakustwa tu afu unaachwa uendelela na Ujinga ujinga