Enzi za Hayati Magufuli Leo angeondoka na Vichwa kariakaoo

Aliyeanzisha task force ni nani kama siyo huyo huyo?
 
Badala ya kutafakari namna Bora kutatua tatizo Kwa hekima na mpango endelevu wewe unasifia Mipango iliyoshindwa
 
Vichwa vya Mbuzi au Kondoo!
 
Mtu mweusi Kwa kumuongoza Kwa utaratibu hu utaambuliaaa mabua ....mtu mweusi mpeleke mpwetapwetaa ndo atafanya KAZI vizuri lakini kwa style Iyo unayosemaa wewe utaambulia mabua hasa Kwa viongozi wetu
 
Mtu mweusi Kwa kumuongoza Kwa utaratibu hu utaambuliaaa mabua ....mtu mweusi mpeleke mpwetapwetaa ndo atafanya KAZI vizuri lakini kwa style Iyo unayosemaa wewe utaambulia mabua hasa Kwa viongozi wetu
Ndiyo shida yenu. Tayari umejidharaulisha kuonyesha kuwa wewe na weusi wenzio hamtumii akili mpaka mpelekwe kwa mabavu.

This inferiority complex is of the highest order
 
Magufuli alikuwa mualibifu tu mtu gani hasie shauliwa kila kitu yeye tu wapumbavu ndio wanao msifia
 
Na mwenyekiti wa wafanyabiashara angeokotewa kuleee kwenye ule msitu wetu nje kidogo ya Daslamu [emoji23] [emoji23]
 
Rule of lawa vs rule of thumb????
 
Huyu mungu wako halikuwa mshenzi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…