Enzi za mwalimu 199...

Dinnah

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
791
Reaction score
1,058
Habari zenu wakuu,
Kuna vitu vingi sana vya kujivuni kwa sisi tulio bahatika kuwepo miaka ya 199....

Binafsi nilikuwa napenda sana hadithi za babu na bibi enzi hizo,hadithi za shule ya msingi,

Hadithi za abunuasi,tuliopitia maisha ya malezi ya bibi/Dada
tukumbushane ni kitu gani ulikuwa unapendelea enzi hizo

Mi nilikuwa napenda sana
.Hadithi-likizama jua tu namuandalia Bibi/Dada kigoda nakoka moto tunakaa watoto wote, tusikilize hadithi huku tunaitikia enhee
.Kombolela
.Lede
.Kuruka kamba
.Mdako
.Bao la kuchimba vishimo bila kusahau kibaba na kimama mama,
Mi nilikuwa mototo lakini

Haha hamkawii kuniuliza kwahiyo ulikuwa .......mama
 
Nilidhani utasema hadithi za kipindi cha mama na mwana
Kipindi cha mama na mwana siku hizi wao na TV tu hawana muda na za kale
Mtoto anafatilia series kuliko kufatilia masomo.

Vipindi vya katuni ndo kabisa,anajua majina yote ya katuni.
 
daahh hiyo simulizi ya katika habari picha imenikumbusha kitambo Sana ...


though mchezo wa kombolela na kimama mama ilikuwa ni mizuri Sana " but ilikuwa ni opportunity ya kuwapa watoto nafasi ya kufanya matusi na kuiga yale yote waliyo kuwa yanafanywa na wazazi/walezi wao usiku .... wengi tulikomazwa kabla ya wakati wetu na hii michezo
 
Huhu mkuu
Kumbe ulikuwa unafanya uchafu

Ila watoto bhana,hawakuwa wanajua kuvua nguo,ndo uzuri wake.
 
hahaa wapii wengine wanavua
Kwa watoto wa sikuhizi kweli wanavua
Ila watoto wa enzi zile mkuu sikuwahi kuona
Ila huenda ilikuwa kweli,usikute mfano mzuri we mwemwenyewe

Hahaha.
 
Nimekumbuka mdako na utu uzima huu kuna muda hua nacheza na watoto Wangu

Kombolele nyumba mbovu zilitukoma

Makidamakida dah!!

Kibaba na kimama ..nilikula sana ubwabwa..maana mtoto mie kila siku nilikua nafanyiwa besidei

Ila sisahau rede ya mstari kati nilivyopigwagwa ndei la kifuani..niliumwa week nzima

Enzi za 199 tulienjoy bana
 
Kwa watoto wa sikuhizi kweli wanavua
Ila watoto wa enzi zile mkuu sikuwahi kuona
Ila huenda ilikuwa kweli,usikute mfano mzuri we mwemwenyewe

Hahaha.
Siku hizi wanavuana hadharani..enzi zile kwenye majumba mabovu
 

Nasubiri kuona aliyecheza kama mama ni nani, maana naona watoto tu.
 
Kwa watoto wa sikuhizi kweli wanavua
Ila watoto wa enzi zile mkuu sikuwahi kuona
Ila huenda ilikuwa kweli,usikute mfano mzuri we mwemwenyewe

Hahaha.
hahaa dinnah niombe radhi
 
Haha

Naenda kusema kwa mama
hearly alifanya uchafu
Hahaha.
hahaa tulikuwa tunaita matusi ... mama dinnah amefanya matusi na John ... basii kama na mimi nilikuwa nakutamani dinnah ilikuwa nikikufamania tu " nasema na mimi naomba la sivyo nakwenda kusema ..
 
hahaa tulikuwa tunaita matusi ... mama dinnah amefanya matusi na John ... basii kama na mimi nilikuwa nakutamani dinnah ilikuwa nikikufamania tu " nasema na mimi naomba la sivyo nakwenda kusema ..
Hahahaha

Duh!,kumbeee ndo wewe
 
Nilisahau
Ila hainizuii mm kukusemelea
Kwa mama

Kwamba uliniweza ila kwa mbinde
Hahaha.
Hahaaa kama sijasahau mama mkwe ambaye ni mama yako sialikuwa anakuambia kuwa mimi nimchumba wako ".... so bila shaka hata ukienda kumwambia hatojali sana " sana sana atashukuru tu kwakukuweka kwangu ambapo ni sehemu salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…