Dinnah
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 791
- 1,058
Habari zenu wakuu,
Kuna vitu vingi sana vya kujivuni kwa sisi tulio bahatika kuwepo miaka ya 199....
Binafsi nilikuwa napenda sana hadithi za babu na bibi enzi hizo,hadithi za shule ya msingi,
Hadithi za abunuasi,tuliopitia maisha ya malezi ya bibi/Dada
tukumbushane ni kitu gani ulikuwa unapendelea enzi hizo
Mi nilikuwa napenda sana
.Hadithi-likizama jua tu namuandalia Bibi/Dada kigoda nakoka moto tunakaa watoto wote, tusikilize hadithi huku tunaitikia enhee
.Kombolela
.Lede
.Kuruka kamba
.Mdako
.Bao la kuchimba vishimo bila kusahau kibaba na kimama mama,
Mi nilikuwa mototo lakini
Haha hamkawii kuniuliza kwahiyo ulikuwa .......mama