Enzi za mwalimu 199...

Haha mi lede ilinitegua mguu
Mpaka nikawekewa muhogo(pop)
Sijisahau
Nimerudi usiku nyumbani sijaoga,wacha kaka anipige na chelewa miguuni
Namwambia nimevunjika mguu hasikii

Ilikuwa inshu nilipo amka asubuhi mguu kama umewekwa hamira aaaa we acha tu,mama siku hiyo hata magari nahisi hakuyaona maana nilibebwa mgongoni hadi Hosp,na ilikuwa mbali,ukizingatia wakike peke yangu mziwanda daaah

R.I.P mama.
 
Huhu kombolela bhana,ilikuwa kombolela kweli.

Ila mi sijawahi vua
yna2
[emoji23][emoji23]

Usinikumbushe kwenye kuvua..kuna rafiki yeye alikua anapenda sana jificha ingawa wote tulikua tuajificha kumbe yeye alikua na mtoto mwenzetu wanafanya yao

Hiyo siku wacha tuwatafute kumbe wameshavuana pichu kitambo yule wa kike anaingizwa vijiti..hatukumkawiza tukaenda msemea kwa mama ake ...alikula mbata ile siku hatari
 
Haha
Bora Mimi nilikuwa najificha chini ya kochi peke yangu

Hahaha,huyo wa kuingiziwa kijiti noma sana aisee
Utoto bhana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…