Dinnah
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 791
- 1,058
- Thread starter
- #21
Haha mi lede ilinitegua mguuNimekumbuka mdako na utu uzima huu kuna muda hua nacheza na watoto Wangu
Kombolele nyumba mbovu zilitukoma
Makidamakida dah!!
Kibaba na kimama ..nilikula sana ubwabwa..maana mtoto mie kila siku nilikua nafanyiwa besidei
Ila sisahau rede ya mstari kati nilivyopigwagwa ndei la kifuani..niliumwa week nzima
Enzi za 199 tulienjoy bana
Mpaka nikawekewa muhogo(pop)
Sijisahau
Nimerudi usiku nyumbani sijaoga,wacha kaka anipige na chelewa miguuni
Namwambia nimevunjika mguu hasikii
Ilikuwa inshu nilipo amka asubuhi mguu kama umewekwa hamira aaaa we acha tu,mama siku hiyo hata magari nahisi hakuyaona maana nilibebwa mgongoni hadi Hosp,na ilikuwa mbali,ukizingatia wakike peke yangu mziwanda daaah
R.I.P mama.