johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
wanaSimba tunamchukia Sana huyu Kigwa kwa ushakunaku anaousambaza dhidi ya muwekezaji wetu Mo. Akome tena akome kweli kweli (in jiwe's voice).Yote kwa yote namuunga mkono Dr Kigwangalla kwa kuzitetea sh bilioni 20 za Simba SC ambazo Mo Dewji anadaiwa.
Hahahaaaa...... Pikipiki alilipa cash!wanaSimba tunamchukia Sana huyu Kigwa kwa ushakunaku anaousambaza dhidi ya muwekezaji wetu Mo. Akome tena akome kweli kweli (in jiwe's voice).