[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio maana nilikuwa siwasikilizi
sipendagi stress mimi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilikua nikimaliza pepa moja kwa moja home,hizo ishu za kupeana stress ckuzipa nafasiEnzi za skuli unatoka katika chumba cha mtihani wa hesabu nje unakuta magwiji wa namba wanabishana...mmoja anasema jibu ni 3 na mwingine anasema jibu -3 wakati huo wewe umepata jibu 41987 hapo ndo utajua mlemavu siyo lazima awe kwenye wheelchair pekee yake.
Shule ilikua ina burudani yake..
Basi tulikuwa sawa aisee.Nilikua nikimaliza pepa moja kwa moja home,hizo ishu za kupeana stress ckuzipa nafasi
Wewe jamaa kiboko yaani unaviziaga uwe wa mwanzo ku comment[emoji1] [emoji1]Ndio maana nilikuwa siwasikilizi
Hahaha...![emoji23] [emoji23] [emoji23]Enzi za skuli unatoka katika chumba cha mtihani wa hesabu nje unakuta magwiji wa namba wanabishana...mmoja anasema jibu ni 3 na mwingine anasema jibu -3 wakati huo wewe umepata jibu 41987 hapo ndo utajua mlemavu siyo lazima awe kwenye wheelchair pekee yake.
Shule ilikua ina burudani yake..
Imetulia hiyo..!!Basi tulikuwa sawa aisee.
Yanakuhusu km unaona wivu vizia na wew uwe wa kwanza loWewe jamaa kiboko yaani unaviziaga uwe wa mwanzo ku comment[emoji1] [emoji1]
Kwa hiyo kila anaecomment humu JF anavizia au sio?? AiseeWewe jamaa kiboko yaani unaviziaga uwe wa mwanzo ku comment[emoji1] [emoji1]