Enzi za shule...

Enzi za shule...

holy holm

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
4,793
Reaction score
9,101
Enzi za skuli unatoka katika chumba cha mtihani wa hesabu nje unakuta magwiji wa namba wanabishana...mmoja anasema jibu ni 3 na mwingine anasema jibu -3 wakati huo wewe umepata jibu 41987 hapo ndo utajua mlemavu siyo lazima awe kwenye wheelchair pekee yake.
Shule ilikua ina burudani yake..
 
Nilikua nikimaliza pepa moja kwa moja home,hizo ishu za kupeana stress ckuzipa nafasi
 
Nilikuaga natabia ya kubadilisha swali nikilikuta haliendi, ili mradi nijaze karatasi nitoke nje
 
Nakumbuka enzi za hzo tulikuwa tuna kaa na masela tunajadili pepa lote kama ndo tunaenda kufanya, watu walikuwa wanapanic kweli,
 
Enzi za skuli unatoka katika chumba cha mtihani wa hesabu nje unakuta magwiji wa namba wanabishana...mmoja anasema jibu ni 3 na mwingine anasema jibu -3 wakati huo wewe umepata jibu 41987 hapo ndo utajua mlemavu siyo lazima awe kwenye wheelchair pekee yake.
Shule ilikua ina burudani yake..
Hahaha...![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom