holy holm
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 4,793
- 9,101
Enzi za skuli unatoka katika chumba cha mtihani wa hesabu nje unakuta magwiji wa namba wanabishana...mmoja anasema jibu ni 3 na mwingine anasema jibu -3 wakati huo wewe umepata jibu 41987 hapo ndo utajua mlemavu siyo lazima awe kwenye wheelchair pekee yake.
Shule ilikua ina burudani yake..
Shule ilikua ina burudani yake..