Enzi za Ujamaa tungelazimishwa kuwaunga mkono Urusi

Enzi za Ujamaa tungelazimishwa kuwaunga mkono Urusi

Tungeambiwa sisi ni wajamaa hivyo ni lazima tuwaunge mkono wakomunisti hata kama ni kwa shingo upande.

Mambo yamebadilika sana kwa mfano Tundu Lisu ndio anaishi upande wa magharibi.

Maendeleo hayana vyama!
Mawazo hayana uhalisia, Marekani akae pembeni Tanzania iunge mkono ?
 
Je. Enzi za soko uria tunalazimishwa kuiunga mkono EU na NATO?
 
SIYO KWELI... KUADOPT SERA YA UJAMAA HAINA ULAZIMA KUWA KILA LINALOFANYWA NA NCHI YA KIJAMAA ULIUNGE MKONO

Kwa maana hiyo unamaanisha nchi zote zenye sera ya ubepari huunga mkono kila linalofanywa na nchi nyingine ya kibepari? Jibu ni HAPANA

Moja ya mambo yaliyokuwa yanamkwaza Nyerere ni Ukoloni pamoja na uvamizi wa nchi nyingine huru na ndiyo aliwakosoa vikali URUSI walivyoivamia Czech mwaka 1968..

lakini pia alilazimika kumfurumusha Iddi Amini baada ya kuingia mpaka wa Tanzania
 
Back
Top Bottom