Enzi za Ujamaa tungelazimishwa kuwaunga mkono Urusi

Enzi za Ujamaa tungelazimishwa kuwaunga mkono Urusi

MR BEN zama zimebadilika
Tungeambiwa sisi ni wajamaa hivyo ni lazima tuwaunge mkono wakomunisti hata kama ni kwa shingo upande.

Mambo yamebadilika sana kwa mfano Tundu Lisu ndio anaishi upande wa magharibi.

Maendeleo hayana vyama!
 
Sidhani kama anakumbuka !! afu watanzania tunajitahidi sana kusambaza haka ka picha sijajua kwa mantiki ipi hasa.
Nakumbuka Mandela alisahau viatu kwa mama mmoja huko Moshi!
 
Sidhani kama anakumbuka !! afu watanzania tunajitahidi sana kusambaza haka ka picha sijajua kwa mantiki ipi hasa.
Anakumbuka na ndiyo maana anatajwa kwamba miongoni mwa lugha anazoziongea ni Kiswahili.
 
Tungeambiwa sisi ni wajamaa hivyo ni lazima tuwaunge mkono wakomunisti hata kama ni kwa shingo upande.

Mambo yamebadilika sana kwa mfano Tundu Lissu ndio anaishi upande wa magharibi.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani Katiba ya Chama ilibadilishwa Bwashee!
 
Tungeambiwa sisi ni wajamaa hivyo ni lazima tuwaunge mkono wakomunisti hata kama ni kwa shingo upande.

Mambo yamebadilika sana kwa mfano Tundu Lissu ndio anaishi upande wa magharibi.

Maendeleo hayana vyama!
Sera za kijamaa ndio zimetufanya kuwa masikini was kutupwa
 
Putin ana mawazo ya kizamani eti kutaka kuyakomboa majimbo yote ya USSR ya Rais wa kisoviet Mikhail Gorbachevichael - kwa sasa naona mwisho wa utawala wake unakwenda kufikia kikomo.
 
Tungeambiwa sisi ni wajamaa hivyo ni lazima tuwaunge mkono wakomunisti hata kama ni kwa shingo upande.

Mambo yamebadilika sana kwa mfano Tundu Lissu ndio anaishi upande wa magharibi.

Maendeleo hayana vyama!
Mara nyingi huwa hunakitu kichwani mwako, unajiandikia tu lolote mradi ujaze takataka JF.

Kwa mfano: hivi hadi leo hujui kwamba Urusi ya Putin siyo wakomunisti? Na bado hujui kwamba Tanzania ilisimamia mambo iliyoamini na siyo kufuata mkumbo!

Wewe ni mtu mmoja 'bogus' kwelikweli. Huna lolote unalolisimamia maishani mwako, kama michango yako inavyoonyesha humu ndani.
 
Acheni uboya, Mwalimu alikuwa anafanya mambo kwa logic.

Aliwaunga mkono Palestina ingawa tungenufaika zaidi na Israel kuliko Palestine...alijali logic kuliko ushabiki tu.

Sasa nyio mnachagua upande leo hii ndio mjipime mnatumia vigezo gani...Mwalimu hayupo tumuache apumzike.
 
Back
Top Bottom