donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Una miaka mingapi shemu?Mkuu game la nyoka mimi nilikua nalionea sana yani simu ya mzee ilikua inanikoma
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji28][emoji23]Una miaka mingapi shemu?
Huyu shemeji amenishangaza[emoji23] [emoji23] Shunie asije akawa anakabemenda katoto ka watu[emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji28][emoji23]
Mtaaalam wa kucheza rede enzi hizo mambo?[emoji28][emoji28][emoji28]Una miaka mingapi shemu?
Sarakasi pia nimeruka,kujinyonga nyonga na kujikunja nimefanya sana....nashangaa siku izi nimekua na mwili mzito viungo havijikunji kunji kama zamaniHivi Mpira nao ni kipaji..? Kama yes,basi utotoni nilikuwa nasakata kambumbu na soka la utotoni halina cha namba gani uwanjani pumzi yako tu,nikiwa golini kama vile Oliver khan (mikono mia)hehee nani wakunifunga..?
Sarakasi nimecheza sana na kunyonga nyonga viungo vya mwili tulikuwa tunatafuta sehemu nzuri yenye majani mazuri kisha tunaanza kuruka huku watoto kibao wakipiga vigelegele na shangwe.
Huwa nikukumbuka enzi za utoto na matukio yake basi huwa nacheka sana.
Ningeweza hata football ningecheza[emoji23] [emoji23]Mtaaalam wa kucheza rede enzi hizo mambo?[emoji28][emoji28][emoji28]
Hahah!! Shem bhnUna miaka mingapi shemu?
Umri wako mkuu wangu wa kazi!!Mkuu game la nyoka mimi nilikua nalionea sana yani simu ya mzee ilikua inanikoma
Swala la umri linaendana na swala la ukabila tu mkuu tuliache, vipi lakini za kitambo?Umri wako mkuu wangu wa kazi!!
Hahahaha....... bila kusahau baiskeli za mitiUlikua unaweza nini au kipaji gani?
As for me wakuu,
Nilikua mtaalam sana wa mitego ya ndege. Kuanzia ule mtego wa mpira wa v, unagongelea vijiti vitTu kwenye ardhi inakua kama v hivi halafu katikati unawek pumba au mchele, ukiwa masta zaidi unawek waya kati then unavuta na kuweka kamba. Pia kulikua na mtego wa ungo, vitanzi na ulimbo. Jamaa wangu mmoja bae pia ni prominet member hapa jf yeye alikua ni mtaalam wa kusuka sambi aka chandimu. Yaan kitu kinadunda kama cha kununua, wapi eric kandimba mtaalm wa kusuka kona za magari ya matauri. Yaan mtatengeneza magari yenu vizuri ila lazima muende kwa erick akawasukie kona. I miss them days....
Juzi tu kuna mahali nilikuwa kuna dogo akawa anarekebisha mtego wake.....Ulikua unaweza nini au kipaji gani?