Mi niko poa tu mkuuSwala la umri linaendana na swala la ukabila tu mkuu tuliache, vipi lakini za kitambo?
Kikubwa uzima mkuu, kama upo poa mimi nashukuru [emoji23]....Mi niko poa tu mkuu
Shida ni kwenye gemu la nyoka mkuu, maana hizo nokia sio za kitambo sana!!
nimebaki nashangaa na mm...gemu la nyokaa!!!
Nasubiri umriHahah!! Shem bhn
Mbona ipo sehemu ya kuedit commentAlafu modos fanyeni maboresho kwenye upande wa kufuta comment kama umekosea... mnatufanya tunaonekana kama under 14 bhana
NakaziaMi niko poa tu mkuu
Shida ni kwenye gemu la nyoka mkuu, maana hizo nokia sio za kitambo sana!!
Hahah! shem umenikalia kooni ila acha nikifiche kwenye kichaka cha jukwaa(Chit chat)Nasubiri umri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakazia
We mkorofi wewe!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakazia
Mkuu jioshe tu waambie ukweli comrade[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah! shem umenikalia kooni ila acha nikifiche kwenye kichaka cha jukwaa(Chit chat)
Umekuwa mgumu kutaja umri kama Bashite kudinda kutoa vyeti mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kikubwa uzima mkuu, kama upo poa mimi nashukuru [emoji23]....
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkuu ukweli wa hili swala sio kabisa bora niyamalize kisanii[emoji23][emoji23]Mkuu jioshe tu waambie ukweli comrade[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahah!! Hili swala ni zito sanaUmekuwa mgumu kutaja umri kama Bashite kudinda kutoa vyeti mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu game la nyoka mimi nilikua nalionea sana yani simu ya mzee ilikua inanikoma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] isije ikawa uko under 17 kama vijana wa Serengeti boysMkuu ukweli wa hili swala sio kabisa bora niyamalize kisanii[emoji23][emoji23]
Mi nilikuaga mtaalamu wa kukata viuno,yani tukianza nyimbo zetu za utoto mkataji mauno mkuu ni mimi.
Kuna ule wimbo unamalizikia na maneno ya "okota maganda,peleka uganda yamepanda bei sukuma waaaaa"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I miss those moments
Hivi Mpira nao ni kipaji..? Kama yes,basi utotoni nilikuwa nasakata kambumbu na soka la utotoni halina cha namba gani uwanjani pumzi yako tu,nikiwa golini kama vile Oliver khan (mikono mia)hehee nani wakunifunga..?
Sarakasi nimecheza sana na kunyonga nyonga viungo vya mwili tulikuwa tunatafuta sehemu nzuri yenye majani mazuri kisha tunaanza kuruka huku watoto kibao wakipiga vigelegele na shangwe.
Huwa nikukumbuka enzi za utoto na matukio yake basi huwa nacheka sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tunatilia shaka umri wa mjumbe alifoji vyetiKwenye nokia mkuu?
Hahah!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] isije ikawa uko under 17 kama vijana wa Serengeti boys
Mtaaalam wa kucheza rede enzi hizo mambo?[emoji28][emoji28][emoji28]
Ashindwae pia ni mume,.....tafadhali nielekeze Jolie JolieMbona ipo sehemu ya kuedit comment