Enzi za utoto....

Enzi za utoto....

Mi niko poa tu mkuu

Shida ni kwenye gemu la nyoka mkuu, maana hizo nokia sio za kitambo sana!!
Kikubwa uzima mkuu, kama upo poa mimi nashukuru [emoji23]....

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mi nilikuaga mtaalamu wa kukata viuno,yani tukianza nyimbo zetu za utoto mkataji mauno mkuu ni mimi.
Kuna ule wimbo unamalizikia na maneno ya "okota maganda,peleka uganda yamepanda bei sukuma waaaaa"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

I miss those moments

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi Mpira nao ni kipaji..? Kama yes,basi utotoni nilikuwa nasakata kambumbu na soka la utotoni halina cha namba gani uwanjani pumzi yako tu,nikiwa golini kama vile Oliver khan (mikono mia)hehee nani wakunifunga..?

Sarakasi nimecheza sana na kunyonga nyonga viungo vya mwili tulikuwa tunatafuta sehemu nzuri yenye majani mazuri kisha tunaanza kuruka huku watoto kibao wakipiga vigelegele na shangwe.

Huwa nikukumbuka enzi za utoto na matukio yake basi huwa nacheka sana.

Mkuu kwa saraksi japo saivi ni mtu mzima ila hizi beki, kavu za mbele na za nyuma ni kama kawa
 
Back
Top Bottom