Hahah!!Snake [emoji216]
Wewe si wa siku nyingi kabisa [emoji1]
Sawa [emoji4]Hahah!!
Tukutane kitaani kwetu
Simu hizi ziliambatana na Siemens C25 almaarufu Twanga pepeta... tufanye mwaka 2000.Aje tu atoe jibu,au we niambie hizi simu za nokia zimeanza mwaka gani,then niassume wakati anacheza game alikua na 6
Hapana tatizo. Najaribu kukadiria tulivyopishana umri. Watu wengi walianza kumiliki TV miaka ya 1995. Kipindi hicho wengine tulishatoka utotoni miaka mingi tuVipi kwani kunatatizo Mkuu..?
Sehemu uliyoona maneno/sentensi ya Tv ni nukuu kutoka kwa msanii songa-enzi za utoto( Hipo hip).Hapana tatizo. Najaribu kukadiria tulivyopishana umri. Watu wengi walianza kumiliki TV miaka ya 1995. Kipindi hicho wengine tulishatoka utotoni miaka mingi tu
Aje tu atoe jibu,au we niambie hizi simu za nokia zimeanza mwaka gani,then niassume wakati anacheza game alikua na 6
Tufanye huo mwaka 2000 ndio nilicheza hilo game la nyoka mbona ni sawa tu wakuuSimu hizi ziliambatana na Siemens C25 almaarufu Twanga pepeta... tufanye mwaka 2000.
Ukiwa na miaka sita na assume LOLTufanye huo mwaka 2000 ndio nilicheza hilo game la nyoka mbona ni sawa tu wakuu
Acha na mimi niassume ndio ilikua hivyoUkiwa na miaka sita na assume LOL
atakua na miaka 19 nahisiSimu hizi ziliambatana na Siemens C25 almaarufu Twanga pepeta... tufanye mwaka 2000.
Si ndo mana we ni babu,unaweza nizaa mara 10 wewe[emoji23]Hapana tatizo. Najaribu kukadiria tulivyopishana umri. Watu wengi walianza kumiliki TV miaka ya 1995. Kipindi hicho wengine tulishatoka utotoni miaka mingi tu
Hiyo miaka kushika simu ya mzee labda awe kaisahau,ila hivi hivi huwezi gusa ukizingatia wamiliki walikua ni wachache kwa hiyo ni kitu kilichokuwa na thamani sana huwezi kumwachia mtoto.Au kwenu nyie wa kishua shem?Tufanye huo mwaka 2000 ndio nilicheza hilo game la nyoka mbona ni sawa tu wakuu
sio wewe, baba yako ni mwanagu siku nyingi sana... LOLSi ndo mana we ni babu,unaweza nizaa mara 10 wewe[emoji23]
Confirmed...!atakua na miaka 19 nahisi
Kabisa,kama 95 umeshatoka utotoni waweza kua babu yangu kabisasio wewe, baba yako ni mwanagu siku nyingi sana... LOL
Ni imani yangu hichi kipaji umekua nacho Mkuu!Mi nilikuaga mtaalamu wa kukata viuno,yani tukianza nyimbo zetu za utoto mkataji mauno mkuu ni mimi.
Kuna ule wimbo unamalizikia na maneno ya "okota maganda,peleka uganda yamepanda bei sukuma waaaaa"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I miss those moments
Sio naweza, mimi ni babu yako.Kabisa,kama 95 umeshatoka utotoni waweza kua babu yangu kabisa
Sitaki kua muongo Shemu home kwetu mambo sio mabaya kabisa kwahiyo ilikua kawaida tuHiyo miaka kushika simu ya mzee labda awe kaisahau,ila hivi hivi huwezi gusa ukizingatia wamiliki walikua ni wachache kwa hiyo ni kitu kilichokuwa na thamani sana huwezi kumwachia mtoto.Au kwenu nyie wa kishua shem?
Chakula kikiiva keeper anaitwa kwao anaondoka na ndala zake kumbe ndiyo magoliHivi Mpira nao ni kipaji..? Kama yes,basi utotoni nilikuwa nasakata kambumbu na soka la utotoni halina cha namba gani uwanjani pumzi yako tu,nikiwa golini kama vile Oliver khan (mikono mia)hehee nani wakunifunga..?
Sarakasi nimecheza sana na kunyonga nyonga viungo vya mwili tulikuwa tunatafuta sehemu nzuri yenye majani mazuri kisha tunaanza kuruka huku watoto kibao wakipiga vigelegele na shangwe.
Huwa nikukumbuka enzi za utoto na matukio yake basi huwa nacheka sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu game la nyoka mimi nilikua nalionea sana yani simu ya mzee ilikua inanikoma