Enzi za utoto....

Enzi za utoto....

Hapana tatizo. Najaribu kukadiria tulivyopishana umri. Watu wengi walianza kumiliki TV miaka ya 1995. Kipindi hicho wengine tulishatoka utotoni miaka mingi tu
Sehemu uliyoona maneno/sentensi ya Tv ni nukuu kutoka kwa msanii songa-enzi za utoto( Hipo hip).

Mimi si muhenga aisee hata Mwanameka wa Musa(marijan rajabu) kwa heshima na nidhamu siwezi mtongoza.
 
Hapana tatizo. Najaribu kukadiria tulivyopishana umri. Watu wengi walianza kumiliki TV miaka ya 1995. Kipindi hicho wengine tulishatoka utotoni miaka mingi tu
Si ndo mana we ni babu,unaweza nizaa mara 10 wewe[emoji23]
 
Tufanye huo mwaka 2000 ndio nilicheza hilo game la nyoka mbona ni sawa tu wakuu
Hiyo miaka kushika simu ya mzee labda awe kaisahau,ila hivi hivi huwezi gusa ukizingatia wamiliki walikua ni wachache kwa hiyo ni kitu kilichokuwa na thamani sana huwezi kumwachia mtoto.Au kwenu nyie wa kishua shem?
 
Mi nilikuaga mtaalamu wa kukata viuno,yani tukianza nyimbo zetu za utoto mkataji mauno mkuu ni mimi.
Kuna ule wimbo unamalizikia na maneno ya "okota maganda,peleka uganda yamepanda bei sukuma waaaaa"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

I miss those moments
Ni imani yangu hichi kipaji umekua nacho Mkuu!
 
Hiyo miaka kushika simu ya mzee labda awe kaisahau,ila hivi hivi huwezi gusa ukizingatia wamiliki walikua ni wachache kwa hiyo ni kitu kilichokuwa na thamani sana huwezi kumwachia mtoto.Au kwenu nyie wa kishua shem?
Sitaki kua muongo Shemu home kwetu mambo sio mabaya kabisa kwahiyo ilikua kawaida tu
 
Hivi Mpira nao ni kipaji..? Kama yes,basi utotoni nilikuwa nasakata kambumbu na soka la utotoni halina cha namba gani uwanjani pumzi yako tu,nikiwa golini kama vile Oliver khan (mikono mia)hehee nani wakunifunga..?

Sarakasi nimecheza sana na kunyonga nyonga viungo vya mwili tulikuwa tunatafuta sehemu nzuri yenye majani mazuri kisha tunaanza kuruka huku watoto kibao wakipiga vigelegele na shangwe.

Huwa nikukumbuka enzi za utoto na matukio yake basi huwa nacheka sana.
Chakula kikiiva keeper anaitwa kwao anaondoka na ndala zake kumbe ndiyo magoli
 
Enzi nikiwa nyoka nimepiga sana safa, kupiga safa kwa walw wa Arusha mnajua ni kuondoka home kuaga unaenda shule ila njiani una abort mission unahamia plan B..

Nakumbuka tulikua na camp letu tulifika njiani tunavua shati unabaki na t-shirt ya home tunaingia machakani kuwinda njiwa na kuiba miwa.

Siku hiyo tumemaliza kama mwezi hivi hatujakanyaga school basi kuna msela wetu mmoja yeye alikua comp hatari alafu ndio monitor tunatokea mtaa mmoja. Aka snitch kwa mwalimu wa darasa.

Wakatafutwa wale ma Usein Bolt wa shule wote, wakaja na monitor yule msela snitch alikua anajua machimbo yetu.

Siku hiyo tulifungua turbo kinoma tulikua wa nne ila watatu tukadakwa mmoja aka save. Tulipelekwa skuli tukala mboko zakufa mtu asee nadhani sio chini ya 30 kila mmoja alafu baada ya hapo tukazama class. Ila tulikua tunaonekana ma don na mamanzi walikua wanatufagilia mbaya
 
Mkuu game la nyoka mimi nilikua nalionea sana yani simu ya mzee ilikua inanikoma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watu simu tumezijua ukubwani kabisa aisee
 
Back
Top Bottom