Maestro 87
Member
- Dec 12, 2016
- 51
- 35
Viazi mviringo viungwe nyanya tu[emoji30][emoji19][emoji19]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16] [emoji16] fwala sana wewe..Hahahah hongera aisee kumbe ndo maana hunijibu kule[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umekua mutoto mubaya unatukana haahaha[emoji16] [emoji16] fwala sana wewe..
Bora kulala njaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umekua mutoto mubaya unatukana haahaha
Na leo utakula Ugali na nyanya chungu + bilinganya
Aiiiii minofu itashuka iyo [emoji28] !! Njoo unikule mimi hapa[emoji4]Bora kulala njaa
Duh!!Kuna siku nilikua na njaa sana halafu mfukoni nina 500. Ilikua ni usiku saa nne naishi mbali na nyumbani sina wa kumuomba kwa nyumbani na hua sipendi kuomba vya watu.
Nikanunua maembe matano ya shilingi mia nikarudi nayo nyumbani ili nile. Kufika nagundua maembe yote mabovu.
What do I do?
Nikamenya maembe yote nikazima taa nikajifunika na shuka nikala nikalala.
Hahahaaa utoto shida sanaHahahaha daah kama mimi asee
😀😀😀😀Ukirudi nyumbani jioni saa kumi na mbili ukiwa umetoka kucheza usiposikia wakipeta nyungo au kuona maji meupe yamemwagwa ujue kishanuka tayari
I miss those days
Duuh ulikuwa na roho ngumu!! Unakula mafinyofinyo.Kuna siku nilikua na njaa sana halafu mfukoni nina 500. Ilikua ni usiku saa nne naishi mbali na nyumbani sina wa kumuomba kwa nyumbani na hua sipendi kuomba vya watu.
Nikanunua maembe matano ya shilingi mia nikarudi nayo nyumbani ili nile. Kufika nagundua maembe yote mabovu.
What do I do?
Nikamenya maembe yote nikazima taa nikajifunika na shuka nikala nikalala.
Kibulu..... Siku kikipikwa kibulu..... unatamani kulia.... ila hakuna namna..... ni lazima kula.....!!!Binafsi ilikuwa ukipikwa ugali usiku nilikuwa nachukia sana,nakula matonge mawili tu nimeshiba naenda zangu kulala