Enzi za utotoni,chakula gani kikipikwa usiku home kwenu ulikuwa unachukia?

Enzi za utotoni,chakula gani kikipikwa usiku home kwenu ulikuwa unachukia?

Hakipo. Si tumekulia ratiba ya wali maharage, ngoja tu saivi tununue vi chips coz zamani kula chips kuku ni anasa
 
Sikuwahi kuchukia chakula chochote, kwani kuna wakati tulikuwa tuna lala bila kura zaidi ya kumywa uji wa sukari gulu.
 
Bilinganya, majanai ya kunde, Nyanya chungu hivi situmii mpaka sasa, sasa hivu yameongezeka maharage
 
Michembe..mpka leo sitaki kuiskia..bt sometimes naims sana
 
Kwa tuliozaliwa miaka ya 90 chakula kikuu ni ugali , siku ukupikwa wali hom kicheko , ila nimekuja kuona wazaz wetu walikua na uwezo wa kutulisha wali kila siku sema bas tu wasingetufanya tuukuze wali kias kile
 
Back
Top Bottom