Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Magu akiona comment yako atazidi kubana vyumaugali na kabeji au maharage,ndizi kwa samaki au utumbo sili najisikia kichefuchefu
Kibulu ndio nini hicho mkuu? [emoji41]Kibulu..... Siku kikipikwa kibulu..... unatamani kulia.... ila hakuna namna..... ni lazima kula.....!!!