Enzi zako zimekwisha P FUNK pole sana

Enzi zako zimekwisha P FUNK pole sana

Status
Not open for further replies.
Nashangaa ndiyo. Ni lugha ya kike hiyo. Wewe ni mwanaume kama binti.

sikia kuna watu ambao ni wanaume kama mabinti wapo pale flavour unit siyo mimi mkuu alafu tuache porojo tuangalie jinsi ya kuwasaidia wasanii wa kibongo kifikra na kimawazo waondokane na hali kama hii ya kufa maskini.
 
Wewe anza na kuangalia ni jinsi gani utakoma kuwa mwanaume kama binti kwanza kabla hujafikiria kuwasaidia wengine. Sawa?
 
Wewe anza na kuangalia ni jinsi gani utakoma kuwa mwanaume kama binti kwanza kabla hujafikiria kuwasaidia wengine. Sawa?

we si unamimba ya rugay tena miezi tisa alafu bado kusaga anakusagaji unategemea huyu mtoto utamzaa kikameruni?
 
ngwair walimpa gari ambayo haina spare bongo. yaani ikiharibika unaagizia nje ya nchi. Kwanza gari lenyewe lilikua bovu. kuna siku alikua kwenye mataa ya karume, taa zilivyo ruhusu akaondoka lakini gari ilikua ikitembea upande upande yeye akajua pancha, ikabidi aipeleke pale kituo cha mafuta kuiacha coz haikua na spare tyre. ile anamkabidhi mlinzi, mlinzi akamwambia he! mbona haina tyre moja? kumbe tyre ilibaki mataa. na aliporudi akakuta wahuni washaondoka nayo. mia

Umenichekesha sana, unajua wakati wenzio wanajadili vitu siriazi punguza matani aiseeee maana nimepoteza flow kwakucheka hahahahahaaaa BUKU!!!!!
 
Umenichekesha sana, unajua wakati wenzio wanajadili vitu siriazi punguza matani aiseeee maana nimepoteza flow kwakucheka hahahahahaaaa BUKU!!!!!

mkuu umecheka lakini ndo ukweli wenyewe na gari aliwarudishia. unajua ile album alipewa mil 3 na ile gari. tulikua tunajazania humo ndani 20 kidogo wakati wa kutoka disco. lakini tulikua tunatembea roho tumeshikilia mkononi. hahahaaaaa...!!!. mia
 
kwani hujasikia kwamba ruge ana uraia wa marekani? mia

Sidhani kama mpaka sasa hajaukana uraia wa US maana hayo mabeef aliyonayo wangeshakomaa nae longtime!
Otherwise chini ya MaCCM kila kitu kinawezekana kimjini mjini!
 
sikia kuna watu ambao ni wanaume kama mabinti wapo pale flavour unit siyo mimi mkuu alafu tuache porojo tuangalie jinsi ya kuwasaidia wasanii wa kibongo kifikra na kimawazo waondokane na hali kama hii ya kufa maskini.

mkuu msamehe Nyani Ngabu. unajua huyu alishawahi kuwa mshindi wa man of the year hapa jf, kipindi hicho alikua na heshima pamoja na kauli nzuri kwa wadogo zake, lakini sasa hivi kaharibika akili, atakua kashaoa so hasira za ndoa analeta jf. hahaaaaa..!!. mia
 
Last edited by a moderator:
wewe nani unamponda p funk? kibao wamepitia mkono wa majani na wanamheshimu. mfano;
rough niggaz, BANTU POUND(niggerz pure,kassie, soggy doggy), AFRO REIGN(nature p,dray,j.d),BOOMBASTIC(ally na hamdani),bagsy malone, contish(abdul na hakim), cool james rip, DE PLOW MATZ(dolla soul,saigon,stigo,trip dogg), solo emcee, E-attack, Ebony moalim, FIVE TOILERS(brathe1,mr white,cholo B,mc S,Big H, FLEVA DOZ wakina izzack dog, HARDCORE UNIT, FOLZ SKOOL,Gangwe mob, gangster with matatizo(GWM).
cc miss strong. mia

Hiyo yote ni joto hasira tu.......Mia!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom