Enzi zako zimekwisha P FUNK pole sana

Enzi zako zimekwisha P FUNK pole sana

Status
Not open for further replies.
hahahaaa...!!!. jamaa karudi tena?!. ngoja niangalie hii vita lazima mtu apigwe ban.
cc. stata mzuka, Mndengereko, miss strong, Mrembo by Nature. bila shaka Nyani Ngabu ana share clouds media na atakua yupo nyuma ya tanzania fleva unit ambayo katibu wake ni kalla pina. mia

Tanzania nzima hakuna redio kama Clouds. Na hata kama mkipinga kimoyomoyo nahisi mnaikubali.

Na ndiyo maana hakuna kabisa redio zingine zinazosikika zaidi ya Clouds.

Clouds wanatisha. Clouds wanakimbiza. Clouds wako juu.
 
anashindwa kujua kwamba kipindi hicho hawa jamaa walikua watoa burdan kwenye kumbi za starehe hadi walipo pata mdhamini. Hata hivyo kuwa kwenye game muda mwingi sio sababu ya kutokua mnyonyaji wa wasanii. Clouds media ndio wanyonyaji na wafitinishaji wa kwanza wa wasanii wa Bongo na huu ndo ukweli ambao Nyani Ngabu hataki kuusikia. mia

Clouds wamemnyonya nani? Lady Jay Dee? Na kama wamemnyonya, wamemnyonya nini - chuchu zake au?
 
Tanzania nzima hakuna redio kama Clouds. Na hata kama mkipinga kimoyomoyo nahisi mnaikubali.

Na ndiyo maana hakuna kabisa redio zingine zinazosikika zaidi ya Clouds.

Clouds wanatisha. Clouds wanakimbiza. Clouds wako juu.

Miredio iko miiingiiiii lakini CLOUDS pekee ndio inaonekana....mnaipiga mawe kwasababu mmeambukizwa na watu wachache wanye maslahi yao ili waiangushe. Bila kufikiria watu wamevalia njuga na kutetea hata wasichokielewa. Kamwe haitaaanguka.
 
Ati umesema Mawingu nini?

mawingu studio kwani vipi ujaelewa nini ahaa au we kilaza kama mulugo make pale clouds meunga unga sana elimu mara form 4 anasoma digrii tumaini kurasini alaa.
 
mawingu studio kwani vipi ujaelewa nini ahaa au we kilaza kama mulugo make pale clouds meunga unga sana elimu mara form 4 anasoma digrii tumaini kurasini alaa.

Ewe mwenye elimu hebu andika vizuri ueleweke.
 
Last edited by a moderator:
Wewe lazima utakuwa umenyonywa na Clouds wewe, si bure!

mi sijanyonywa wala ila lazima tujue madhara ya clouds katika ukuaji wa muziki tanzania kwaiyo hatuwezi kukaa kimya.
 
mi sijanyonywa wala ila lazima tujue madhara ya clouds katika ukuaji wa muziki tanzania kwaiyo hatuwezi kukaa kimya.

Unavyolia lia ni kama umeshawahi kunyonywa wewe. Sipati picha walikunyonya nini na walikunyonyaje. Ndo maana una gubu:heh:
 
Wewe unaropoka,,hip hop anayofanya majani ni hatari ka dre,,cheki ngoma ya stamina,wazo la leo,,,,,ukitoa majani na duke touches hakuna hip hop producer bongo

vitoto kila kukicha vimekzana ku- sample ngoma za mbele na havi acknowledge...vinachekelea kama zao afu vinazoa ujiko tu kwa idea za kina pharrel.......----- mtupu!nyasi ndo producer wa kweli wa hip hop hapa kwetu na aliejaribu hata kuzipa ngoma zetu ladha ya kinyumbani kidogo!..kidoooogo labda na duke!hawa kina chali sijui lamar copy cats tu!
 
Kila zama na kitabu chake clouds nayo inakarabia anguko times fm wakijipanga watakonga.... Kiss na East Africa fm kidhungu kinawakosesha wasikilizaji. Angalizo kwa shoga Khamis Mandi aka B12 usitengeneze maadui clouds hujafika walikuwepo kina Abubakar Said so usijifsnye MFALME
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom