Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
hahahaaa...!!!. jamaa karudi tena?!. ngoja niangalie hii vita lazima mtu apigwe ban.
cc. stata mzuka, Mndengereko, miss strong, Mrembo by Nature. bila shaka Nyani Ngabu ana share clouds media na atakua yupo nyuma ya tanzania fleva unit ambayo katibu wake ni kalla pina. mia
Tanzania nzima hakuna redio kama Clouds. Na hata kama mkipinga kimoyomoyo nahisi mnaikubali.
Na ndiyo maana hakuna kabisa redio zingine zinazosikika zaidi ya Clouds.
Clouds wanatisha. Clouds wanakimbiza. Clouds wako juu.