Enzi zetu Chitchat

Hahahaha
Jf ina mengi watu yana wakuta ya kuwakuta wanakuja na ID mpya

Huwa nahisi asilimia 50 ya ID mpya ni watu wale wale wa zamani. Ila naona wewe umekuwa true thatz cool
ila Kuna id nyingine unakuta mtu amezoeleka sana Ile kisela sela kishkaji.. . mtu kama huyo akipotea inauma kweli yale mazoea na akija kivingine ni ngumu kuanza kujisema mimi ni fulani.. binafsi nimemmis sana miss chagga.... Paprika Khantwe Miss Neddy mzabzab lara moko nae dizain kaisusa jf yaniiiiiii wengi sana
Jf ya leo sio ile ya zamani,utoto umekua mwingi,wengi wameamua kuachana na IDs zao za zamani ili kulinda heshima zao na kuja na IDs mpya.
kweli kabisa
Japo wengine hupita kusoma kimya kimya na hizo ids zao za zamani..
ukimzoom tu unaona last activity 5 mins ago ila kukoment no





Cc Smart911
 
Nilikuwa namkumbuma Khantwe leo
Yeah kuna watu ki ukweli tuna miss uwepo wao
 
hahahaha tupo bwana wewe mrembo
 

Hao wote unaowataja wapo mbona na ID tofauti mahondaw wangu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…