Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Nawewe unatumiaga "weraaaa" mkuu [emoji23]Weraaaaaa!
Muda wao usha isha acheni na vijana wapokee kijiti sasa.
Ni sawa na kumkumbuka Ally Choki kwenye kipindi cha Christian Bella
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawewe unatumiaga "weraaaa" mkuu [emoji23]Weraaaaaa!
Muda wao usha isha acheni na vijana wapokee kijiti sasa.
Ni sawa na kumkumbuka Ally Choki kwenye kipindi cha Christian Bella
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nawewe unatumiaga "weraaaa" mkuu [emoji23]
Hahahahakwakweli make wengine hawana hata mwaka wanapoteaaaa sijui niseme kupotezwa teh ... hakika idumu jf
cc Smart911
Jf ya leo sio ile ya zamani,utoto umekua mwingi,wengi wameamua kuachana na IDs zao za zamani ili kulinda heshima zao na kuja na IDs mpya.kwakweli make wengine hawana hata mwaka wanapoteaaaa sijui niseme kupotezwa teh ... hakika idumu jf
cc Smart911
ila Kuna id nyingine unakuta mtu amezoeleka sana Ile kisela sela kishkaji.. . mtu kama huyo akipotea inauma kweli yale mazoea na akija kivingine ni ngumu kuanza kujisema mimi ni fulani.. binafsi nimemmis sana miss chagga.... Paprika Khantwe Miss Neddy mzabzab lara moko nae dizain kaisusa jf yaniiiiiii wengi sanaHahahaha
Jf ina mengi watu yana wakuta ya kuwakuta wanakuja na ID mpya
Huwa nahisi asilimia 50 ya ID mpya ni watu wale wale wa zamani. Ila naona wewe umekuwa true thatz cool
kweli kabisaJf ya leo sio ile ya zamani,utoto umekua mwingi,wengi wameamua kuachana na IDs zao za zamani ili kulinda heshima zao na kuja na IDs mpya.
Nilikuwa namkumbuma Khantwe leoila Kuna id nyingine unakuta mtu amezoeleka sana Ile kisela sela kishkaji.. . mtu kama huyo akipotea inauma kweli yale mazoea na akija kivingine ni ngumu kuanza kujisema mimi ni fulani.. binafsi nimemmis sana miss chagga.... Paprika Khantwe Miss Neddy mzabzab lara moko nae dizain kaisusa jf yaniiiiiii wengi sana
kweli kabisa
Cc Smart911
hahahaha tupo bwana wewe mremboila Kuna id nyingine unakuta mtu amezoeleka sana Ile kisela sela kishkaji.. . mtu kama huyo akipotea inauma kweli yale mazoea na akija kivingine ni ngumu kuanza kujisema mimi ni fulani.. binafsi nimemmis sana miss chagga.... Paprika Khantwe Miss Neddy mzabzab lara moko nae dizain kaisusa jf yaniiiiiii wengi sana
kweli kabisa
Japo wengine hupita kusoma kimya kimya na hizo ids zao za zamani..
ukimclick tu unaona last activity 5 mins ago ila kukoment no
Cc Smart911
Mkuu jukwaa la Chelsea kuna member anaitwa Ntuzu amepotelea wapi huyu?Mento tuko nae jukwaa la chelsea kule
ila Kuna id nyingine unakuta mtu amezoeleka sana Ile kisela sela kishkaji.. . mtu kama huyo akipotea inauma kweli yale mazoea na akija kivingine ni ngumu kuanza kujisema mimi ni fulani.. binafsi nimemmis sana miss chagga.... Paprika Khantwe Miss Neddy mzabzab lara moko nae dizain kaisusa jf yaniiiiiii wengi sana
kweli kabisa
Japo wengine hupita kusoma kimya kimya na hizo ids zao za zamani..
ukimzoom tu unaona last activity 5 mins ago ila kukoment no
Cc Smart911