Enzi zetu Chitchat

Keki zipo mamii
 
Uwiiiiiii The list huyoooo hureeeeeeeeeee,,nilikumiss kufwa bora umerudii uturekebishe tabia tumejisahau tena
Naomba Utii kiu zetu
The List hata mi nakukubali sana ubarikiwe pia

Karibu daku..
 
Sasa hao wazee hapo uwakutanishe na kikosi cha kina shunie kweli??

Hawatoki salama,hawa watoto wa siku hizi kama wana mashine mkononi wanavyoandika
Mbona tupo tunawalea, tena tunawamudu kuliko kizazo kipya washika pembe na kula kwa macho!
 
Wenye ID mpya wengi ni wa juzijuzi,wamevamia JF kwa pupa inabidi waje kivingine. Tena wengi mliobadili ID mnajuana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…