Enzi zetu Chitchat

Enzi zetu Chitchat

Weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaweraaaaaaaaaaaaaaa wako wapi wale wa enzi zile za LEO TUPO HAPA PUB

wako wapi wale wa mastori mastori ya kutisha kama ya Mshanajr, Mentor (huyu kapotea mazima sijui ndo ka............) Mtambuzi , KakaKiiza

wako wale washadadiaji kwenye mauzi ya siasa, kama Katavi,

wako wapi wale wakiona kitu basi mlango wa saba utatambua kuwa wako hahahahhahaaaaaaaa
(siwataji wasijenifunga lokapu bure hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

wako wapi wale wanaokoment masaaa 24/7 akina miss chagga, Arushaone, PakaJimmy Lady doctor, charminglady, valentine, Heaven on Earth, MTAFITI, mwallu, Kipaji Halisi , figganigga


Wako wapi waanzisha nyuzi waliobobea yaani wakongwe sana hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
siwataji wataniweka kwenye kikaango cha baba mwamba haaaaaaaaaaaaaaa

Wasalaam
Ladyf
Keki zipo mamii
 
Mama wa Sabrina hakika wewe ni mtu makini sana kwenye hili jukwaa.

Unameremeta mithili ya futari ya magimbi..mimi nakukubali sana mtu wa nguvu.

Na kwa sababu hiyo ikitokea empty set yoyote humu ikakukorofisha..fanya kuni-tag, na mimi bila kupepesa na kwa ile staili yangu adimu ya TII KIU YAKO nitaicheketua empty set iyo mpaka itubu.

Ubarikiwe mpaka ushange mama wa sabrina.
Uwiiiiiii The list huyoooo hureeeeeeeeeee,,nilikumiss kufwa bora umerudii uturekebishe tabia tumejisahau tena
Naomba Utii kiu zetu
The List hata mi nakukubali sana ubarikiwe pia

Karibu daku..
 
Sasa hao wazee hapo uwakutanishe na kikosi cha kina shunie kweli??

Hawatoki salama,hawa watoto wa siku hizi kama wana mashine mkononi wanavyoandika
Mbona tupo tunawalea, tena tunawamudu kuliko kizazo kipya washika pembe na kula kwa macho!
 
Wenye ID mpya wengi ni wa juzijuzi,wamevamia JF kwa pupa inabidi waje kivingine. Tena wengi mliobadili ID mnajuana.
 
Back
Top Bottom