Weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaweraaaaaaaaaaaaaaa wako wapi wale wa enzi zile za LEO TUPO HAPA PUB
wako wapi wale wa mastori mastori ya kutisha kama ya
Mshanajr,
Mentor (huyu kapotea mazima sijui ndo ka............)
Mtambuzi ,
KakaKiiza
wako wale washadadiaji kwenye mauzi ya siasa, kama
Katavi,
wako wapi wale wakiona kitu basi mlango wa saba utatambua kuwa wako hahahahhahaaaaaaaa
(siwataji wasijenifunga lokapu bure hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
wako wapi wale wanaokoment masaaa 24/7 akina
miss chagga,
Arushaone,
PakaJimmy Lady doctor,
charminglady,
valentine,
Heaven on Earth,
MTAFITI,
mwallu,
Kipaji Halisi ,
figganigga
Wako wapi waanzisha nyuzi waliobobea yaani wakongwe sana hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
siwataji wataniweka kwenye kikaango cha baba mwamba haaaaaaaaaaaaaaa
Wasalaam
Ladyf