sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,208
- 2,525
Hizo ndo zilikuwa za kibishoo sana nzuriavon
Hahahhahaa au kuendeshea toboIle staili ya kupenda baiskeli unakanyaga pedel moja huku unaisukuma ikapata mwendo unarusha mguu wa pili kama unaruka teke huyoo unatoka speed.
Vijana hawa wa sasa hivi sidhani kama wanaweza kuendesha hizo chuma
Na Kuna Ile nyingine unaisukuma baiskeli huku unakimbia then unaidandia kwa juu.Ile staili ya kupenda baiskeli unakanyaga pedel moja huku unaisukuma ikapata mwendo unarusha mguu wa pili kama unaruka teke huyoo unatoka speed.
Vijana hawa wa sasa hivi sidhani kama wanaweza kuendesha hizo chuma
Kila zama nakitabu chake.View attachment 2571100
View attachment 2571102
Enzi zetu haikuitajika Peugeot, Nissan Wala Datsun ila ukiwa na Phoenix, Swala, frying pegeou au Raleigh unang'oa walimbwende na ndoa zilidumu sana tofauti na Sasa.π
Sio maneno yangu alisikika muhenga mmoja.
Mimi nilikua napenya katikati hapo mana nilikua mfupi kwenye kiti sifiki
Kodi ipo kwa staili nyingi. Sasa ni mwendo wa matozotuHivi siku hizi hawakamati tena baiskeli ambazo hazina taa, na zile stika
Halafu iwe ni Phoenix mpya sasa. Hahahaa hatari na nusu. Kama vile unamiliki manowariIle staili ya kupenda baiskeli unakanyaga pedel moja huku unaisukuma ikapata mwendo unarusha mguu wa pili kama unaruka teke huyoo unatoka speed.
Vijana hawa wa sasa hivi sidhani kama wanaweza kuendesha hizo chuma
Serikali ilikusanya tozo hadi kwenye baiskeli daah!! Ilibidi baada ya kuibandika uikatekate na kiwembe ili isiibwe.Duu baiskeli zili saidia sana,
Kili itwa kipande kitambo iyo 1995
Haaaahaa...kipande system ππSerikali ilikusanya tozo hadi kwenye baiskeli daah!! Ilibidi baada ya kuibandika uikatekate na kiwembe ili isiibwe.
Enzi izo lazima ujue kuendeshaa....
π€Na raba yako nzuriii ya DH
Nyumba nyingi lazima huu usafir uwepo...Sweet memories umenikumbusha Flying Horse yetu dah
Kitambo aiseeUkienda kupiga dem mpya lazima ndani uvae kosta mpya sio Leo boxa kwa vijana barobaro na binti lazi uwe na gwaguro jeupe.
Wahenga wamenielewa.
Monowari ya kivitaππππ€£Halafu iwe ni Phoenix mpya sasa. Hahahaa hatari na nusu. Kama vile unamiliki manowari