Enzi zetu haikuitajika Peugeot, Nissan Wala Datsun ila ukiwa na Phoenix, Swala, frying pegeou au Raleigh unang'oa walimbwende na ndoa zilidumu sana

Ile staili ya kupenda baiskeli unakanyaga pedel moja huku unaisukuma ikapata mwendo unarusha mguu wa pili kama unaruka teke huyoo unatoka speed.

Vijana hawa wa sasa hivi sidhani kama wanaweza kuendesha hizo chuma
Hahahhahaa au kuendeshea tobo
 
Ile staili ya kupenda baiskeli unakanyaga pedel moja huku unaisukuma ikapata mwendo unarusha mguu wa pili kama unaruka teke huyoo unatoka speed.

Vijana hawa wa sasa hivi sidhani kama wanaweza kuendesha hizo chuma
Na Kuna Ile nyingine unaisukuma baiskeli huku unakimbia then unaidandia kwa juu.

Kosa la hii niliwahi kuisukuma baiskeli Ile nimedandia kwny kiti nikakalia mapumbu.h duh,so painful.
 
Mdau.
Screenshot_20230401-091459.jpg
 
Back
Top Bottom