NAHAL
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 1,670
- 3,281
Huna habarii,,,,Shetanii unamuona farlaahh tuu!!Hapo kama una uwezo enzi hizo,umevaa zile Walk man unakula nyimbo za Lucky Dube.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna habarii,,,,Shetanii unamuona farlaahh tuu!!Hapo kama una uwezo enzi hizo,umevaa zile Walk man unakula nyimbo za Lucky Dube.
Kuna ile unanyonga Pedels ila mnyororo hauleti ushirikiano,Baiskeli inakua haiendi,walikua wanaita Mbwa zimelala.Nilikuwa nna baskeli inaitwa bugati enzi hizo.siku hiyo nikaipiga pedeli hivyo hivyo kwa nyuma cheni ikachomoka ikazama kwenye freewili inanivuta asee nilipiga mzinga moja hioo na vumbi la kutosha.
Phoenex Moja ya ubunifu Bora sana kuwai kutokea tangu Dunia iumbwe....Hawa wachina walileta mapinduzi ya baiskeli 🤓🤠Mnyama phoenix alileta mapinduzi makubwa sana. Kabla ya hapo turbo ndio ilikuwa tishio kijijini kwetu.
Mbwa zimelala nimecheka kama mtoto mdogo....Kuna ile unanyonga Pedels ila mnyororo hauleti ushirikiano,Baiskeli inakua haiendi,walikua wanaita Mbwa zimelala.
😀😀
Kivumbi ukianguka unakosa balansi unaenda .mzimamzima chini unajichuna magoti yote mawili.Ilikua inaitwa kuendeshea mgamba,yani mguu unaupitisha katikati ya ile triangle ya Baiskeli coz ya ufupi wa muendeshaji.😀😀
Hizi zilikuwa ndo IST za kipindi hicho hivyo usishangaeView attachment 2571100
View attachment 2571102
Enzi zetu haikuitajika Peugeot, Nissan Wala Datsun ila ukiwa na Phoenix,Swala, frying pegeou au Raleigh unang'oa walimbwende na ndoa zilidumu sana tofauti na Sasa.😂
Sio maneno yangu alisikika muhenga mmoja....
Haahaa IST 🤣🤣🤣Hizi zilikuwa ndo IST za kipindi hicho hivyo usishangae
Baiskeli 🤓🤠Kivumbi ukianguka unakosa balansi unaenda .mzimamzima chini unajichuna magoti yote mawili.
Ni kweli. Ila kuipata hio Phoenix walikua wanasota sawa tu na kupata crown sasa hivi. Atalima pamba hata misim mitatu akiweka akiba ya Phoenix [emoji1787][emoji1787]View attachment 2571100
View attachment 2571102
Enzi zetu haikuitajika Peugeot, Nissan Wala Datsun ila ukiwa na Phoenix,Swala, frying pegeou au Raleigh unang'oa walimbwende na ndoa zilidumu sana tofauti na Sasa.[emoji23]
Sio maneno yangu alisikika muhenga mmoja....
Haahaa, 😂Ni kweli. Ila kuipata hio Phoenix walikua wanasota sawa tu na kupata crown sasa hivi. Atalima pamba hata misim mitatu akiweka akiba ya Phoenix [emoji1787][emoji1787]
🤓🤓🤓Zile za gia alafu ukute zina kitenga kwa mbele zilipo ingia ndio zilikua hizi SUBARU FORESTER za vijana wa sasa.... Ukiishika unapiga gia tuu .unajiona mjanja sana
Na ukienda kusalimia ndugu na maragiki jua likizama kagiza kakiingia unaiacha huko huko utoki nayo usiku maana watakuteka uibiwe. Unarudi nyumbani kwa mguu utairudia kesho yake kuchukua ndinga yako
[emoji3][emoji3][emoji3] umenikumbusha mbali, eti mbwa zikilala inatakiwa ukojolee ile freewill , sasa ukiona mkojo huna inabidi umwombe mtu akujoe kwa kukusaidia.....daah.. [emoji12]Kuna ile unanyonga Pedels ila mnyororo hauleti ushirikiano,Baiskeli inakua haiendi,walikua wanaita Mbwa zimelala.
[emoji3][emoji3]
Mi nilikuwa na nakorokochoa mwenyewe, fundi akila hela hapo labda ya kunyosha ringi tu na krispoko nampa mwenyewe, hapo kuna spana mojaa ilikuwa haikosi kwenye kibegi inaitwa "spana malaya" ilikuwa na matundo mengiiii.....[emoji3][emoji3]Mbwa zimelala nimecheka kama mtoto mdogo....
Sisi tuli ita ku trade....
Kuna watu wali lisha familia Kwa ufundi baiskeli [emoji851]
Zama zimebadilika...
Halafu kuna ile mnaitumia Kengele ya Baiskeli kujitizama kama kioo,basi ukijiona uso umekua mrefu au pua kubwa mnachekana.[emoji3][emoji3][emoji3] umenikumbusha mbali, eti mbwa zikilala inatakiwa ukojolee ile freewill , sasa ukiona mkojo huna inabidi umwombe mtu akujoe kwa kukusaidia.....daah.. [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23] una kumbukumbu sanaAu ilikua Baiskeli ikichanganya Speed,unakua unanyonga zile pedals kwa kurudisha nyuma,basi ule mlio wa ile Bearing ya tairi la nyuma unajiona mjanja.
[emoji3][emoji3]
Na suruali pana ya jinsi huku shati kubwa hujachomekea unakuwa Les Wanyikaunaweka hapo na zile kofia zilizokuwa na kibati mbele zimeandikwa LUCKY
Kwanza zimeleta ushoga, kuvunja ndo na takataka zinginemaisha yalikuwa matamu sana bila hizi takataka smart phone na tv
Sikuhizi hata kutembelea ndugu na jamaa hakupo tena kwsbb ya smartphonesZile za gia alafu ukute zina kitenga kwa mbele zilipo ingia ndio zilikua hizi SUBARU FORESTER za vijana wa sasa.... Ukiishika unapiga gia tuu .unajiona mjanja sana
Na ukienda kusalimia ndugu na maragiki jua likizama kagiza kakiingia unaiacha huko huko utoki nayo usiku maana watakuteka uibiwe. Unarudi nyumbani kwa mguu utairudia kesho yake kuchukua ndinga yako
Savco ya juzi , jeans Zico na shati la mchele mchele.Hapo umepiga zako Jeans ya SAVCO na Shati la Juliana.
😀😀