Enzi zetu waliosoma shule binafsi yani private ni waliofeli

Enzi zetu waliosoma shule binafsi yani private ni waliofeli

Enzi zile shule za serikali ziliheshimika sana,
Ningekuwa waziri wa Elimu kwa sasa, ningefanya mapinduzi kama yale ya Viwanda kwenye historia yaliyofanyika 1760 - 1840 kwa kuajiri waalimu wa Hesabu na Sayansi tu kwa shule za msingi na Sekondary.
Kwa kufanya hivyo naamini Ndani ya miaka mitano ungeshangazwa na matokeo.........heshima ingerudi......
Shida sio kuajiri unawalipa nini Ili nawao wafurahie maisha!
 
Tunakumbushana tu, ndivo ilivokuwa.

Shule private maarufu enzi zetu kulikuwa Jitegemee, Vituka na sait Antony Mbagala
huku tarime kulikuwa na Shirati sec school.

Je wewe unakumbuka lipi? Gen Z mtupishe.
Yaaniil ikuwa ukionekana unasoma private wewe hukufaulu.
 
Back
Top Bottom