Enzi zile shule za serikali ziliheshimika sana,
Ningekuwa waziri wa Elimu kwa sasa, ningefanya mapinduzi kama yale ya Viwanda kwenye historia yaliyofanyika 1760 - 1840 kwa kuajiri waalimu wa Hesabu na Sayansi tu kwa shule za msingi na Sekondary.
Kwa kufanya hivyo naamini Ndani ya miaka mitano ungeshangazwa na matokeo.........heshima ingerudi......