Shida nyimbo karibia zote zinafananaMimi natumia website inaitwa Iloveai music
Hongera kazi nzuri.5. Sweet Dj Tamil ft Pasek
Nimeipenda hii.Yeah exactly, nachagua sauti, Nina ujuzi wa sauti, either Alto, Mezzo-Soprano etc, unachagua style, unachagua instruments, unachagua tempo, unachagua feeling then una feed lyrics
Bosco yupo very talentedKila wimbo uliotengenezwa Kwa AI, sauti ikiwa ya kiume, sauti inafanana na ya yule dogo muimba Mash up anaeitwa Bosco tone