EPA na mambo yake


Hapana ES, Lukaza anayezungumzwa ni huyu huyu Johnson, ndugu yake Mwesi na kaka yao Makubo. Si kweli habari unayosema kwamba familia inatembelewa na pesa tangu enzi. Ni Makubo tu aliyekuwa na pesa kabda ya mdogo wake Johnson na sasa hivi hana tena. Na hiyo ilikuwa mambo ya "Chapa Jogoo" Kuna habari zingine si vizuri kuweka wazi maana ni mambo ya familia, hivyo naishia hapa.
 
...sasa naanza kuamini kidogo kuna watu serikalini wanafanya kazi,sasa tuone kama mahakama zetu zitatoa haki kwa walipa kodi walioibiwa pesa zao na kuwapa fair trial watuhumiwa,lakini nimeanza kupata wasiwasi na hiyo bail condition...way toooo much na sijui kama haki imetendeka hapo na sheria kufuatwa!
 
Ok, kuna waliosema Kikwete apongezwe(japo ni wajibu wake) kuna waliosema hauna haja ya kuipongeza serikali mpaka tuone mwisho wake n.k n.k

Mimi naona imefika muda tuipongeze serikali , lakini hukun moyoni tukijiponeza sisi wenyewe kuwa bila presha ya wananchi haya mambo yasingefika hapa.

Pia naona imefika wakati hawa jamaa wadogo waone kuwa wanapokula na wakubwa mwisho wa siku watakamatwa wao, kuna watu wanasema hawa ni dagaa, kweli lakini nao ni wahalifu. Kuwa na dagaa wahalifu ni sawa kabisa kuwa na smakai mkubwa mhalifu, tatizo la wakubwa hawa huwa wana wainfluence wadogo na wana nguvu.

Jamii ijume huko mliko, hata kama wewe ni mfagizi, rushwa ni mbaya, inadidimiza taifa,

KWA HIYO NAFURAHI JAPO HAWA KUONEKANA, KAMA WANAUCHUNGU SANA NA HASIRA KALI NA KAMA WATAJUTIA WALIYOYAFANYA, BASI WATAWATAJA HAO SAMAKI WAKUBWA! KUSHINDWA KWAO KUWATAJA BADO NI WATU WABAYA MNO HAWA, maana tutasema we , lakini these folks they know black and white!

wanajua kama Rostam, EL,....n.k wamo maana huu nao nimtandao wenyewe. Pia hata kama watapona au watakwepa , lakini bado hukumu katika jamii inawasubiri, tana kubwa.

wakipona watajulikana wanazo na hivyo kuvamiwa ni rahisi( na majambazi) kuvamiwa na wenye hasira pia, familia zao hata sasa ziko mashakani

NASEMA KULA NA WAKUBWA NI MBAYA, WADOGO MKIKATAA WAKUBWA HAWATAWEZA, MATOKEO YAKE NI HAYA....

waberoya
 
Mkora na Kisura,


Heshima mbele sana wakuu,

Duh! mkuu kisura karibu tena siku nyingi sana kulikoni?, nimewasikia sana, eti na dada yake huyu aliyeolewa na mshikaji wangu aliiba wapi? Maana hao wengine wameiba eti?

Eti Familia yao ilikuwa masikini? Are you serious au?
 
field marshall,huyu half sister wake makubo na mumewe walimcheza picha makubo na kuibuka.Baba yao alikuwa mtu wa kawaida akiwa mkazi wa mtaa wa undali,upanga.familia iliibuka baada ya makubo kuibuka katika curcumstances ambazo ni kitendawili mpaka leo
 
Mkuu ninakusikia sana, kwa hiyo kumbe ni ile ile familia ninayoijua maana umekubali kuwa walikuwa Upanga kama nilivyosema, mkuu nijuavyo mimi ni kwamba mshikaji wangu alipokuwa anamzengea sister, huyu sister alikua akimchukua kwenye gari la old wake, na enzi hizo nchi ilikuwa imevaa jeans hawakuwepo masister-du wa namna hii yaani wa kuja kukuchukua na ndinga wewe mshikaji tu, na one day niliwahi kutinga na patner home kwa sister, I mean kulikuwa kanuni sana mkuu!

Anyways naomba niishie hapa tu, maana ni watu ninaowaheshimu na wanasikitishwa sana kwamba sasa wananchi wengi wanaamini kuwa hela zao ni za ufisadi wa Lukaza, wakati hazina uhusiano wowote na hela za John, hilo linawauma sana.

ni hayo tu!
 
Kama alivyosema Zitto na wachangiaji wengine kwenye thread hii, serikali inastahili pongezi kwa kiasi flani. Lakini pongezi kubwa ziende kwa media houses zote, opposition parties, civil society na wapenda maendeleo wote ambao wamekuwa mstari wa mbele kuendesha mapambano dhidi ya ufisadi. Bila vikundi vyote hivi, leo tusingekuwa hapa tunaipongeza serikali. Nasema tunaipongeza maana serikali imekuwa ikelea maovu na ufisadi kwa miaka mingi, sasa tunapoona hatua zinachukuliwa (hata kama ni kidogo) dhidi ya ufisadi, tunapata faraja kidogo. Kikubwa tungependa kuona haki ikitendeka na wahusika wote wakiadhibiwa kwa mujibu wa sheria.
 

Familia kuwa na uchache inawezekana lakini kama walivyosema wasemaji wengine hapo juu... kuna vitendo vya kifisadi na dubious dealings nyingi wanafanya..na siyo lazima kuweka details hapa.Ila kwa tunaowafahamu naweza kusema huu ni mwanzo wa ku unveil yale amabayo hayakuwa yakijulikana about this so called rich dynasty.FYI one of the brothers pia anahusika na hili sakata na hata ilibidi akimbie baadhi ya mali zake wakati mambo yamekuwa hot.
 

Sawa sawa, hapa tupo ukurasa mmoja. I mean sisi wa-Kristo, Mungu anasema kuwa hakuna utajiri wa halali kwa hiyo you will never know, lakini hawa familia wanazo hela pia siku nyiingi ndio tu iliyokuwa point yangu,

Lakini nimewasikia anything could be anything.
 
Looh! kumbe Ballali aliamua la maana ku fake kifo maana na yeye angekuwa analia na hao akina mama hapo Kisutu.

Eti wana vimemo, sawa, uchunguzi umekamilika, tuvione hivyo vimemo mahakamani.

Pia ile dossier ya Ballali imwageni basi ili iwaokoe hao wafanyakazi wengine aliowaponza.

Kwa nafasi za hao vigogo wa BOT, wangeweza kujiishia maisha mazuri mpaka mola anawachukua, lakini, sasa tunaona wanaenda kuambukizwa chawa Lupango. Hizi tamaa jamani, wacha wengine tuendelee kubeba maboxes yetu.

Wale wakuu waliosema dossier ya Ballali inakuja, tunawaomba wailete haraka maana muda unaenda. Tutakuja kuambiwa wino umefutika kwi kwi kwi!!!

Nimewasikitikia sana hao wanawake kwenye hiyo case, mimi ni mwumini wa kwamba wanawake hawana matamaa ya ajabu ajabu kama sisi wanaume. Sasa hao dada zetu
wamelikoroga kweli kweli!
 

Mkuu FMES,

Kwahiyo hata wale vijana wenzetu wa google ni majambazi kwi kwi kwi!!!
 

Du Haya we. Mzoea vya kunyonga? Vya kuchinja haviwezi. Kama kweli aliweza kupora mtu mme ni hela atashindwa. Lakini kanaelekea hakajali. Kanaona yote sawa tu. jasiri huyu mama.
 
Mmmmhhh Makubo namfahamu.
Kweli kwa miaka mingi baada ya Chapa jogoo kufa naye alikuwa amezimia kwa ukwasi. Pesa ilikuwa imekwisha kabisa.
Lakini kwa miaka miwili ya nyuma ghafla aliibuka na mipesa kibao ambayo hakuna aliyejua aliipata kivipi.
Niliona akifadhili vikundi vya kidini kule kwao na pesa aliyokuwa nayo ilikuwa inatisha. Aliitisha harambee ili achangie utengenezaji wa kanisa na aka hire mtu wa catering kwa kulisha karibu kijiji kizima🙂
Wanaomfahamu walishangaa kuona jamaa kaibuka kiaina tena. Kumbe ilikuwa ni design hii? Sasa naweza kuchora picha na kujua nini kilikuwa kinaendelea.
 
Kuna Tetesi Mjini: Jeetu Patel Yuko Mitaani!
Hii ni kwa mujibu wa vyanzo vyangu. Inadaiwa ameonekana leo asubuhi maeneo ya St.Peters akielekea katikati ya jiji. Yawezekana ameshatimiza masharti ya dhamana katika kesi inayomkabili. Naam. Habari Ndio Hiyo!
nimenusa kwa mjengwa pale.
 
Bila kuwa na mtu wa kututhibitishia kuwa hawa jamaa kweli wanalala selo,tunaweza kuwa tunamwagiwa changa la macho tu.Usione ajabu kuwa jamaa wanaonekana wanapelekwa rumande then baadaye wanafuatwa huko na tinted cars kuwarejesha wakalale kwa amani nyumbani.Ni vugumu kweli kwa mfumo ulioathirika kwa rushwa kumshughulikia mtu mwenye fedha (hata kama ni ya wizi).

And to be honest,I dont trust JK.Huyu ni mtu ambaye katika hotuba yake ya Bungeni na hii ya juzi ameonekana kuwatetea hawa mafisadi.Na jana anadai kuwa mzigo kamwachia DPP (ni utoto kwa Rais kujipa majukumu kila siku ya kuwaelekeza kazi watendaji wake ambao wanapaswa kujua majukumu yao) na hatomwingilia.Je hii sio dalili ya kukwepa lawama pindi DPP akiamua kufuta mashtaka au kuiendesha kesi hiyo kwa mwendo wa konokono?

Sanasana hili vuguvugu litadumu kwa siku 2-3,watuhumiwa watapewa dhamana kisha kesi itaenda weeee mpaka tuisahau.Come 2010,JK atajigamba kuwa amepambana na ufisadi na ushahidi ni kesi zilizoko mahakamani.Akiulizwa mbona zimechukua muda mrefu sana atajitetea kwa maeno hayo alosema jana: mzigo kaachiwa DPP.

Labda naota tu lakini kuna nyakati ndoto nazo hutimia
 

Mkuu tunaogopa kuingia ndani zaidi kwani itakuwa too personal lakini michongo yenyewe ndio hiyo hiyo sema huyo Johnson akawa Taahira kujikuza sana yaani ilifikia wakati kuna kigogo wa BOT anampigia simu kupunguza mabalaa na yeye anamuweka kwenye loud speaker akidai anamfuata fuata
 

Hahahaha kwa hili naona umenifanya nicheke weeeeeee
 


INFWAKTI sisi watu wa KANYIGO ndo tulivyo bwana so ushishangae kuona hayo ya bwana mudogo
 

Mkuu tunaogopa kuingia ndani zaidi kwani itakuwa too personal lakini michongo yenuewe ndio hiyo hiyo soma huyo Johnson akawa Taahira kujikuza sana yaani ilifikia wakati kuna kigogo wa BOT anampigia simu kupunguza mabalaa na yeye anamuweka kwenye loud speaker akidai anamfuata fuata
Kukaa upanga sio kigezo cha kuwa nazo kwani wengi walihonga Msajili kupata hizo nyumba na kodi yake ni rahisi
Ninavyojua mimi Makubo aliiba pesa chafu between 80-82 wakaanza kuleta bia za Becks na Johnson alikuwa anasambaza pesea ilipoisha wakakimbilia Tritel hadi alipofanya vitu vyake mwenyewe
 

Mzee wa data, hebu fuatilia kwa kina. Huyu Mzee wake mbona alikuja miaka ya 70 pale Kigoma kufanya biashara za kawaida tu? Hawa si watanzania, ni wakimbizi toka Burundi. Fuatilia kwa kina. Hata baadhi ya fedha za EPA zimepelekwa huko kwao. Nilishangaa sana kusikia wakijitambulisha kuwa ni wamanyema wa ujiji!

.......ndiyohiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…