Kisura
JF-Expert Member
- Jun 21, 2007
- 364
- 26
Labda kama wako wawili, lakini ninayemjua familia yake iilikuwa inaishi Upanga, dada yake ambaye ameolewa na mshijaki wangu mmoja wa primary school anamiliki kampuni kubwa sana ya Tele/Communications pale jengo la CRDB, na kaka yake mwingine anamiliki kampuni kubwa sana ya kupeleka watalii mbugani kule Arusha na nikiwa majuu nimemsaidaia sana kuwaelekeza watalii kwake, I mean a I can go on and on, unless tunawawaongelea Lukaza wawili tofauti!
Hizi sio dataz, ila ni ukweli wa kawaida tu wa familia ninayoifahamu, that is all sikusema hizi ni dataz, lakini unakaribishwa sana ila tu yasiewe yale yale!
Thanxs!
Hapana ES, Lukaza anayezungumzwa ni huyu huyu Johnson, ndugu yake Mwesi na kaka yao Makubo. Si kweli habari unayosema kwamba familia inatembelewa na pesa tangu enzi. Ni Makubo tu aliyekuwa na pesa kabda ya mdogo wake Johnson na sasa hivi hana tena. Na hiyo ilikuwa mambo ya "Chapa Jogoo" Kuna habari zingine si vizuri kuweka wazi maana ni mambo ya familia, hivyo naishia hapa.