EPA na mambo yake

EPA na mambo yake

Baada ya dakika tano ndio wanaingizwa mahakamani. Hata mimi sijajua ni nani hao, lakini ndio kuna kesi kubwa

Halisi tabia hii ya kuweka watu roho juu juu haifai, wengine wana matatizo ya mioyo, utaua ndugu yangu
 
kama maina ya wa makampuni ya EPA tayari yalishakuwa posted humu

acheni ushamba nyie
 
Wajameni wenye vi inzi karibu na pahala hapo fanyeni mambo
 
jamani mbona mnachelewa jameni?kuna shida gani?mwana kjj vp kainzi kako hakajapitia huko?
 
kama maina ya wa makampuni ya EPA tayari yalishakuwa posted humu

acheni ushamba nyie

Jeetu Patel na wengine jumla wako saba wa EPA akiwamo wakili anayetajwa kwa jina la kamala na mwanamke mmoja
 
We all know kutakuwa na news hapo kwa mahakani. Hao mafisadi kufikiswa hapo still that is not a news for population of Tanzania.

labda wafike, Wasomewe mashitaka, wakubali ama wakatae, Watupwe selo, Dhamana isiwepo. Baadae kesi itajwe tena ushahidi usikilizwe kisha wafungwe hapo news itakwepo. Kwa sasa naona hamana kitu.

Kwanza waache usanii matumizi ya hivyo vijisenti kwenye vitu ambavyo auditing ni Ngumu kufanyika siikubali. Raisi hawezi akaidhinisha hizo hela zitumike kwenye kilimo bila wabunge kukaa na kukubaliana. Binafsi nadhani wangejengea barabara ikivunjika tutaiona. na tutajua mkandarasi feki alichukuliwa kwa ajili ya 10%

Wabunge tafahalini hizi hela za watokwa jasho zisitumike kiholela hivi. Railway walishindwa kukubaliana na wafanyakazi sirikali ikabeba hela ikawamwagia wawekezaji feki, nani aliidhinisha matumizi hayo?? Je hivyo vijisenti vilitegwa kwa hayo matumizi???
ama ndio kama kawa hayumkini zilikuwa zimetengwa kwa ajili ya maticha.
Jamani tugangamale kudai haki zetu ohooo. wazee washamwaga demo nadhani lilionekana na kila mwenye macho.
watanzania tushachoka

We need changes
 
Jeetu Patel na wengine jumla wako saba wa EPA akiwamo wakili anayetajwa kwa jina la kamala na mwanamke mmoja

Heeee mi nachoka watashtakiwa kwa kuchota mabilion ya fedha au kwa kutokurudisha mabilioni ya fedha baada ya kupewa muda hayaaaaaaaa yanaweza kutokea Tanzania tu sijui
 
Jeetu? No way, the chap is too big to be taken to a Tanzania court of law.😱
 
Heeee mi nachoka watashtakiwa kwa kuchota mabilion ya fedha au kwa kutokurudisha mabilioni ya fedha baada ya kupewa muda hayaaaaaaaa yanaweza kutokea Tanzania tu sijui


Kutokana na recent jurisprudence of this country, kuchota au kuiba mabilioni ya fedha si kosa...kosa ni pale unapopewa muda kurudisha ukashindwa to beat the deadline!
It will be interesting kuona charge sheet inasomeka vipi!
 
Niliwaambia Rais wetu atachukua hatua juu ya suala hili la EPA baadhi yenu mkabeza.
 
Mbona hii Broken News imekaa kiupandepande??????????????
 
Back
Top Bottom