We all know kutakuwa na news hapo kwa mahakani. Hao mafisadi kufikiswa hapo still that is not a news for population of Tanzania.
labda wafike, Wasomewe mashitaka, wakubali ama wakatae, Watupwe selo, Dhamana isiwepo. Baadae kesi itajwe tena ushahidi usikilizwe kisha wafungwe hapo news itakwepo. Kwa sasa naona hamana kitu.
Kwanza waache usanii matumizi ya hivyo vijisenti kwenye vitu ambavyo auditing ni Ngumu kufanyika siikubali. Raisi hawezi akaidhinisha hizo hela zitumike kwenye kilimo bila wabunge kukaa na kukubaliana. Binafsi nadhani wangejengea barabara ikivunjika tutaiona. na tutajua mkandarasi feki alichukuliwa kwa ajili ya 10%
Wabunge tafahalini hizi hela za watokwa jasho zisitumike kiholela hivi. Railway walishindwa kukubaliana na wafanyakazi sirikali ikabeba hela ikawamwagia wawekezaji feki, nani aliidhinisha matumizi hayo?? Je hivyo vijisenti vilitegwa kwa hayo matumizi???
ama ndio kama kawa hayumkini zilikuwa zimetengwa kwa ajili ya maticha.
Jamani tugangamale kudai haki zetu ohooo. wazee washamwaga demo nadhani lilionekana na kila mwenye macho.
watanzania tushachoka
We need changes