Very correct great thinkers, Kibonde hopeless kweli nafikiri njaa inamsumbua vibaya.Hamna lolote la maana analolijua huyu jamaa, kwanza kipindi chake kinasikilizwa na mashosti zaidi ya watu wa kazi.Nafikiri asipojirekebisha wana JF tutammaliza kwa hoja na comments zilizoenda vitivo